GE2025 What a shame, Taifa litapoteza 1 trillion Kwa uchaguzi wa Samia Vs Salum Mwalimu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.

Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.

Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.

Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???

Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.

Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.

Mto wa mbu
Illinois-USA
 
Tega masikio; wakati wa kampeni watakaokuwa wananangwa ni CHADEMA...Japo kuna mbuzi wa ccm watakuwa wanapiga makofi na vigelegele.
 
Ni AIBUU AIBUUU BILA WOGA WALA HAYA!KWELI MUNGU NI MKUBWA JAMANI ona wanavoumbuka ..Mungu yu nasi watanzania!hakuna marefu yasokua na ncha.Hakuna mtanzania ataamka asbhi kwenda kwenye upuuzi kma huu wa ballot box.
Huu ni upuuz wa Historia.Samia amka Kikwete anakuhujumuuu
 
Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.

Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.

Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.

Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???

Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.

Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.

Mto wa mbu
Illinois-USA
Umeandika nini sasa we bwege, endelea maboksi huko we nyani wa wazungu
 
Ni AIBUU AIBUUU BILA WOGA WALA HAYA!KWELI MUNGU NI MKUBWA JAMANI ona wanavoumbuka ..Mungu yu nasi watanzania!hakuna marefu yasokua na ncha.Hakuna mtanzania ataamka asbhi kwenda kwenye upuuzi kma huu wa ballot box.
Huu ni upuuz wa Historia.Samia amka Kikwete anakuhujumuuu
Mtu mzima Eti anaujumiwa hapana ni katili sana,ila moyoni najua Samia litamkuta jambo
 
tunasubiri landslide victory --- hii nchi tuna utani mwingi sana na sanduku la kura
😁😁😁😁 Angalia chaguzi za Kenya Ata Uganda, Mseveni last election viti vya ubunge 40% walishinda upinzani
 
Back
Top Bottom