Huo ujasiri ulionao kuwatetea hao kina samia! Siku ukijagundua ulikuwa mjinga utajilaani kwanini ulupumbazika na uongo wa ccm! Hivi vituko sio masihara yaani tupoteze mabilioni kwaajili samia ashindane na salumu kweliii?Umeandika nini sasa we bwege, endelea maboksi huko we nyani wa wazungu
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???
Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.
Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Na pia ni matumizi mbaya ya akili za watanganyikaHaya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi wa Tanganyika.
Aibu naskia mimi huku dah tumefikaje hapa!Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???View attachment 3435465
Wasukuma wapi hana umaarufu huo jamani kama mnavowaza.Mi msukuma namuona ka mpuuz huko usukumani wamemshangaa sanaMpina atapigiwa na wasukuma ..huyo mwalim sjui kama atapata hata kura 100..
Uchaguzi mwaka huu kama utafanyika utashuhudia idadi ndogo sana ya watu kupiga kura...
Elimu! Tulipokesea pakubwa ni pale tulipoipa siasa thamani na hadhi kubwa kuliko taaluma!Aibu naskia mimi huku dah tumefikaje hapa!
Subiri hicho kinachoitwa uchaguzi kipite uoneAcheni mzunguko wa hela uongezeke mtaani.
Vituko vitaendelea kuzidi kuwepo maadamu mfumo wenye kuruhusu hivyo vituko unaendelea kuwepo, maana sie tunadhani kufa kwa wenye kufanya hivyo vituko ndio itasaidia kuondoa hivyo vituko.Uchaguzi wa mwaka huu ni kituko!
Ndo hivyo mkuu yaani Observers eti wanakuja kuangalia hii rubbishMtoa mada umeongea point kubwa Sana...... shukran Sana Kwa kuwafundisha vijana wa leo
Tanzania sijui tumefikaje hapaVituko vitaendelea kuzidi kuwepo maadamu mfumo wenye kuruhusu hivyo vituko unaendelea kuwepo, maana sie tunadhani kufa kwa wenye kufanya hivyo vituko ndio itasaidia kuondoa hivyo vituko.
Eti Devotha Minja 😁😁😁Kwanza hao CHAUMMA mikutano yao ya kampeni itachekesha sana! itakuwa na wahudhuriaji wachache na Mwalimu atapata kura chache sana nyuma ya Mpina,
Uchaguzi upo tume ishatangaza ratibaHakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO. nimekaa pale
Yaani mpina ata amsha amsha Hana, afu raia kama wamekata tamaa na uchaguziSamia Suluhu Hassan- size yake sasa ni Salum mwalim na Devotha Minja. Mbowe kaingia mitini huko Chaumma. Fedha za uchaguzi ziliwe tu na Ester Matiko na hawara yake kama inavyodaiwa na watu wa Tarime..
Mpina ni Membe point 2, atachaguliwa ubunge viti maalum kama alivyoahidiwa na Raisi Samia suluhu Hassan huku Job ndugai akiwaangalia wanavyo jimwambafai toka kaburini.
Wale ndo maana wanaitwa vibaka..Chaumma hata playlist ktk mkutano wao wamechukua toka Chadema.
Uwe kati ya Samia vs mama yakoMlitaka uchaguzi uwe samia Vs nani ili hiyo pesa itumike kihalali?