Lisa Rina
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 3,353
- 7,274
Ze comedyUchaguzi wa mwaka huu ni kituko!

😆😆😆😆😆Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???
Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.
Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Hapo kama Sir mia anataka kutumia shoka kudondosha mpapai wakati mpapai hata kiwembe tu unadondoka shali.Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???
Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.
Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Then wote ndugu ktk imaniYanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???
Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.
Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Ndo maana Tundu Lissu anasimamia No Reforms, No Elections!Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???
Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.
Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO. nimekaa paleYanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.