Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Tega masikio; wakati wa kampeni watakaokuwa wananangwa ni CHADEMA...Japo kuna mbuzi wa ccm watakuwa wanapiga makofi na vigelegele.Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???
Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.
Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Ata wasanii wamekosa wagombea wa kuwananga ni aibu msanii umnange Salumu mwalimuSamia vz salum mwalimu na Mpina
Umeandika nini sasa we bwege, endelea maboksi huko we nyani wa wazunguYanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong contender( Lissu) na kuamua kujitengenezea fake opposition.
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???
Hivi huu utakuwa ni uchaguzi au ni rubbish. Uchaguzi wenye ushindani unavuta watu wengi kupiga kura.
Ni aibu Kwa least developed country kama Tanzania kuteketeza $400m Kwa bogus election.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Sa[FONT=Poppins, Monaco, Menlo, Consolas, Roboto Mono, Andale Mono, Ubuntu Mono, monospace]mia atazunguka nchi nzima kikampein dhidi ya Salum Mwalimu [/FONT]Haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi wa Tanganyika.
Mtu mzima Eti anaujumiwa hapana ni katili sana,ila moyoni najua Samia litamkuta jamboNi AIBUU AIBUUU BILA WOGA WALA HAYA!KWELI MUNGU NI MKUBWA JAMANI ona wanavoumbuka ..Mungu yu nasi watanzania!hakuna marefu yasokua na ncha.Hakuna mtanzania ataamka asbhi kwenda kwenye upuuzi kma huu wa ballot box.
Huu ni upuuz wa Historia.Samia amka Kikwete anakuhujumuuu
Mfua boxer wa MakallaUmeandika nini sasa we bwege, endelea maboksi huko we nyani wa wazungu
ππππ Angalia chaguzi za Kenya Ata Uganda, Mseveni last election viti vya ubunge 40% walishinda upinzanitunasubiri landslide victory --- hii nchi tuna utani mwingi sana na sanduku la kura
hatari sanaππππ Angalia chaguzi za Kenya Ata Uganda, Mseveni last election viti vya ubunge 40% walishinda upinzani
SMia vs wewe hapo Mbaga Jr walau ningekupigia kuraMlitaka uchaguzi uwe samia Vs nani ili hiyo pesa itumike kihalali?
Bahati mbaya Mm sio mwanasiasa πSMia vs wewe hapo Mbaga Jr walau ningekupigia kura