GE2025 What a shame, Taifa litapoteza 1 trillion Kwa uchaguzi wa Samia Vs Salum Mwalimu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwanza hao CHAUMMA mikutano yao ya kampeni itachekesha sana! itakuwa na wahudhuriaji wachache na Mwalimu atapata kura chache sana nyuma ya Mpina,
 
Sijui ni kwa nini nchi imeamua kufanya uchaguzi wa ajabu kiasi hiki! Mwalimu na Mpina ni tishio kwa Samia? Mizani ya kisiasa haisomi uzito wa wapinzani hao
 
😆😆😆😆😆
 
Hapo kama Sir mia anataka kutumia shoka kudondosha mpapai wakati mpapai hata kiwembe tu unadondoka shali.

Mwisho utasikia ameshinda kwa kishindo na wanataka tarakimu fake.
 
Ni kweli ni kituko ila Rais wa Nchi umemwita kama Balozi harafu muhuni Mwalimu ndio umeandika majina yake yote...
 
Samia Suluhu Hassan- size yake sasa ni Salum mwalim na Devotha Minja. Mbowe kaingia mitini huko Chaumma. Fedha za uchaguzi ziliwe tu na Ester Matiko na hawara yake kama inavyodaiwa na watu wa Tarime..

Mpina ni Membe point 2, atachaguliwa ubunge viti maalum kama alivyoahidiwa na Raisi Samia suluhu Hassan huku Job ndugai akiwaangalia wanavyo jimwambafai toka kaburini.
 
Then wote ndugu ktk imani
 
Ndo maana Tundu Lissu anasimamia No Reforms, No Elections!
Sasa ni wazi hakuna uchaguzi... Kuna kutiki!
 
Kwa nini kura zisipigwe kidigital kupunguza cost
 
Hakuna uchaguzi mwaka huu. HAUPO. nimekaa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…