GE2025 What a shame, Taifa litapoteza 1 trillion Kwa uchaguzi wa Samia Vs Salum Mwalimu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umeandika nini sasa we bwege, endelea maboksi huko we nyani wa wazungu
Huo ujasiri ulionao kuwatetea hao kina samia! Siku ukijagundua ulikuwa mjinga utajilaani kwanini ulupumbazika na uongo wa ccm! Hivi vituko sio masihara yaani tupoteze mabilioni kwaajili samia ashindane na salumu kweliii?
 
Hivi ukweli Samia na Nchimbi ndo wakushindana na kina Salim Mwalimu na Devotha Minja???
 
Mpina atapigiwa na wasukuma ..huyo mwalim sjui kama atapata hata kura 100..
Uchaguzi mwaka huu kama utafanyika utashuhudia idadi ndogo sana ya watu kupiga kura...
 
Mpina atapigiwa na wasukuma ..huyo mwalim sjui kama atapata hata kura 100..
Uchaguzi mwaka huu kama utafanyika utashuhudia idadi ndogo sana ya watu kupiga kura...
Wasukuma wapi hana umaarufu huo jamani kama mnavowaza.Mi msukuma namuona ka mpuuz huko usukumani wamemshangaa sana
 
Acheni mzunguko wa hela uongezeke mtaani.
 
Vituko vitaendelea kuzidi kuwepo maadamu mfumo wenye kuruhusu hivyo vituko unaendelea kuwepo, maana sie tunadhani kufa kwa wenye kufanya hivyo vituko ndio itasaidia kuondoa hivyo vituko.
Tanzania sijui tumefikaje hapa
 
Kwanza hao CHAUMMA mikutano yao ya kampeni itachekesha sana! itakuwa na wahudhuriaji wachache na Mwalimu atapata kura chache sana nyuma ya Mpina,
Eti Devotha Minja 😁😁😁
 
Yaani mpina ata amsha amsha Hana, afu raia kama wamekata tamaa na uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…