GE2025 What a shame, Taifa litapoteza 1 trillion Kwa uchaguzi wa Samia Vs Salum Mwalimu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu yani na stress zote lakini jana nilichekaaa haaaa hvi hawa wanatuchukuliaje sie watanzania?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hapo Samia anakenua na kujigamba kuwa ana upinzani
 
Ule ni utoto na kuchezea kodi za watanzania mtu unajua uchaguzi ni maigizo kwa nini tupoteze kiasi kikubwa cha pesa kwenye uchaguzi ambao ni maigizo wakati Tanzania ni nchi maskini. Sure tunaogopa Mabeberu hiyo pesa inayotumika kwenye uchaguzi ingeweza kupunguza deni la wakandarasi Wazawa ambao wamefilisika kwa kudai serikali
 
Ila chadema intelijensia yao ndogo sana wanashindwa kuwachezea mchezo ccm waingie kingi

Siasa za Afrika zinahitaji kuchezesha kichwa kama mviziano wa Putin vs Trump nipeni mimi hiyo kazi dk0 ccm chalii
 
Fedha zenyewe si ni za misaada kwa ajili ya uchaguzi? Tz hatuna ubavu wa kufund chaguzi zetu wenyewe ubavu huo hatuna
 
Ila chadema intelijensia yao ndogo sana wanashindwa kuwachezea mchezo ccm waingie kingi

Siasa za Afrika zinahitaji kuchezesha kichwa kama mviziano wa Putin vs Trump nipeni mimi hiyo kazi dk0 ccm chalii
Mfano
 
Ulitaka Rais Samia na agombee na babaako ndio utaamini zimerumika vizuri?
 
Hiyo pesa ingetiwa SGR Lot 5 ingemalizia mradi wote!
 
Hizo pesa zimetumika kuwahonga wajumbe na kuwalipa machawa wanaomlamba mama miguu.
 
Mkuu nchi hii kwenye king'amuzi cha dunia ni chaneli ya katuni.
 
Na mwajuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…