What are random interesting facts about yourself?

1. Nina hyperhidrosis - mikono na miguu huwa inasweat sana nikiwa excited, shocked au worried.
2. Nina aquaphobia - Naogopa sana maji ya bahari na ziwa
3. Nina anopheliphobia - sipendi na siwi comfortable nikiona mbu na jamii ya wadudu wa aina hyo
4. Nina Trypophobia - nina fear of holes (hii ndo the greatest of all)
5. Insomniac since childhood
 
PTSD + Aquaphobia=????????
 
Aisee!! Kwa ninavyowajua walimu wa nidhamu, sikupatii picha madam ukiwa kwenye majukumu yako. Wanafunzi wamekupa jina gani😅😅
Huwa nafuatilia tabia ya mwanafunzi hadi mtaani na kwenye instagram😂😂😂😂😂😂. Mbona wanakoma. Vikao vya wazazi kila leo mpaka mtoto abadilike. Na nikiamua kula sahani moja na wewe nitaacha tuu endapo utabadilika.

Form 4 wa miaka kadhaa nyuma walinikatia jina.
Sikuwahi kulijua hadi siku ya mahafali yao. Wakati walimu wanaitwa mimi zamu yangu MC akanitaja jina langu, masomo ninayofundisha akamalizia kwa kusema "wengi wanamjua kama ...." Wanafunzi wakalitaja wote kwa pamoja. Nilicheka sana.

Sema wanafunzi wananipenda. Hadi wazazi wao wananipenda na simu wananipigia kunishitakia tabia za watoto wao na awards wameshanipa mbili.
 
😃😃 dahh pole sana. .. narudia tena mkuu mimi na vitu vichungu tuko tofauti.. muarabaini ndio kabisa siuwezi


Mmh kwahiyo chai ikikolea tangawizi huwezi kunywa, vp khs pilipili?
 
aahhh koboko unamuuaje sasa? labda mumtegee sumu.. wataalamu wa mambo wanasema anauwezo wa kuua watu 100 ndani ya dakika kadhaa tu. labda kama alikufa kwa mafuriko.. mshukurusana. hakuwaanzishia songombingo


Huyo sio koboko ni cobra.
 
🤣🤣🤣
Hongera sana, unakitendea haki cheo chako.
 
Kuwa alone ni upweke? Me mbona naweza kuwa alone lakini nikawa happy huo upweke una'apply vipi hapo...
Upweke kwa lugha ya kiingereza "isolation" or "loneliness" Is the state of being alone and separated from others.. Ni hali ya kutengwa mbali na wengine, na ndiyo halisi ya kuwa mwenyewe.
Sasa huwezi sema ni upweke, kwa MTU ambaye yuko alone while anaji-socialize using telekinesis through calls, chattings and stuffs... ( huyo sio mpweke na huyo ndiyo depal ).

Psychology ; inasema upweke unasababishwa na vitu mbalimbali kama vile, kukosa kazi, kutofikia malengo , kukatiswha tamaa ,hali ya kujiona duni, unyanyapaa , kuwa na maumbile ya upole au aibu, kutokubaliwa na jamii, kujichukia , kufiwa na ndugu wa karibu au wazazi! , Talaka, Hali ya kutokujishamehe na sababu nyingine nyingi....
 
Najaribu kukuelewa. Hebu aje hearly aseme upweke wake ni wa vipi.
 
- Sometimes i think iam the kindest and the most reasonable person on earth, ila ukinijia kinyumenyume to the extent nikablock the two nabadilika kuwa the most dangerous and scary person on earth.
 
Naogopa sana kupanda/kuendesha bodaboda asee!
Nkiwa na stress hua napenda kula sanaaaaa! Af vyakula vile vitam vitam ambavyo sivipat mara kwa mara!
 
Then you are very dangerous person on earth!
Haya magroup ya watu hua yananifanya niwe uncomfortable. Sifa yao kubwa ya pamoja ni kutokua reasonable[emoji1][emoji1]
- Vichaa
- Walevi
- Watoto

Sasa mtu mwenye akili zake timamu akijifanya ni kichaa, mlevi, au mtoto hua napiga nyundo ya utosi ili akili yake ikae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…