Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PTSD + Aquaphobia=????????I am afraid of snakes, spiders, chameleon and lizard ever since I was a little kid.
I have a lifelong fear of water because I almost drowned once in the pool. It was absolute hell which made dying seem like a better option. I was struggling very hard but the more you struggle the faster you sink. Lucky someone came to save me. I have been told that drowned is the one of the most peaceful ways to die but hell nah!
I try to always mind my own fuqn business.
Aisee!! Kwa ninavyowajua walimu wa nidhamu, sikupatii picha madam ukiwa kwenye majukumu yako. Wanafunzi wamekupa jina gani😅😅Kazini Mimi ni mwalimu wa nidhamu.
Huwa nafuatilia tabia ya mwanafunzi hadi mtaani na kwenye instagram😂😂😂😂😂😂. Mbona wanakoma. Vikao vya wazazi kila leo mpaka mtoto abadilike. Na nikiamua kula sahani moja na wewe nitaacha tuu endapo utabadilika.Aisee!! Kwa ninavyowajua walimu wa nidhamu, sikupatii picha madam ukiwa kwenye majukumu yako. Wanafunzi wamekupa jina gani😅😅
😃😃 dahh pole sana. .. narudia tena mkuu mimi na vitu vichungu tuko tofauti.. muarabaini ndio kabisa siuwezi
aahhh koboko unamuuaje sasa? labda mumtegee sumu.. wataalamu wa mambo wanasema anauwezo wa kuua watu 100 ndani ya dakika kadhaa tu. labda kama alikufa kwa mafuriko.. mshukurusana. hakuwaanzishia songombingo
🤣🤣🤣Huwa nafuatilia tabia ya mwanafunzi hadi mtaani na kwenye instagram😂😂😂😂😂😂. Mbona wanakoma. Vikao vya wazazi kila leo mpaka mtoto abadilike. Na nikiamua kula sahani moja na wewe nitaacha tuu endapo utabadilika.
Form 4 wa miaka kadhaa nyuma walinikatia jina.
Sikuwahi kulijua hadi siku ya mahafali yao. Wakati walimu wanaitwa mimi zamu yangu MC akanitaja jina langu, masomo ninayofundisha akamalizia kwa kusema "wengi wanamjua kama ...." Wanafunzi wakalitaja wote kwa pamoja. Nilicheka sana.
Sema wanafunzi wananipenda. Hadi wazazi wao wananipenda na simu wananipigia kunishitakia tabia za watoto wao na awards wameshanipa mbili.
Upweke kwa lugha ya kiingereza "isolation" or "loneliness" Is the state of being alone and separated from others.. Ni hali ya kutengwa mbali na wengine, na ndiyo halisi ya kuwa mwenyewe.Kuwa alone ni upweke? Me mbona naweza kuwa alone lakini nikawa happy huo upweke una'apply vipi hapo...
Najaribu kukuelewa. Hebu aje hearly aseme upweke wake ni wa vipi.Upweke kwa lugha ya kiingereza "isolation" or "loneliness" Is the state of being alone and separated from others.. Ni hali ya kutengwa mbali na wengine, na ndiyo halisi ya kuwa mwenyewe.
Sasa huwezi sema ni upweke, kwa MTU ambaye yuko alone while anaji-socialize using telekinesis through calls, chattings and stuffs... ( huyo sio mpweke na huyo ndiyo depal ).
Psychology ; inasema upweke unasababishwa na vitu mbalimbali kama vile, kukosa kazi, kutofikia malengo , kukatiswha tamaa ,hali ya kujiona duni, unyanyapaa , kuwa na maumbile ya upole au aibu, kutokubaliwa na jamii, kujichukia , kufiwa na ndugu wa karibu au wazazi! , Talaka, Hali ya kutokujishamehe na sababu nyingine nyingi....
Then you are very dangerous person on earth!- Sometimes i think iam the kindest and the most reasonable person on earth, ila ukinijia kinyumenyume to the extent nikablock the two nabadilika kuwa the most dangerous and scary person on earth.
- I have trypophobia, nikiona vipelepele au vinundu vingi mahali pamoja nachefukwa kbs.
=a living hell.PTSD + Aquaphobia=????????
Haya magroup ya watu hua yananifanya niwe uncomfortable. Sifa yao kubwa ya pamoja ni kutokua reasonable[emoji1][emoji1]Then you are very dangerous person on earth!
Kobla kumbe na yeye huwa hana limitation ya ukuaji ?Huyo sio koboko ni cobra.
Pili pili na tangawizi sio vichungu ..vyote natumia but visizidi kipimo ..pili pili natumia kidogo kwaajili ya kunipa appetiteMmh kwahiyo chai ikikolea tangawizi huwezi kunywa, vp khs pilipili?