Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kobla kumbe na yeye huwa hana limitation ya ukuaji ?
Ulikuwa unajua wewe ni kabila lingine kisha ukagundua halikuwa lako? Au ulikuwa unaishi bila kabila kabisa?A freewheeling kinda of person ( not limited by rules or accepted ways of doing things) ,
👆Nilishawahi kukataa ajira kwa sharti la kunyoa nywele & ndevu
A wanderlust ( having a high and strong desire to travel) ni bora uninyime pesa& kula kuliko kuninyima safari. , a tourist by nature.
Funny thing, ni bora nilale chumba chenye wanyama wakali kama simba kuliko kulala chumba chenye panya ndani.
Mpaka umri wa miaka 25 nilikuwa sijui kabila langu.
Niliishi kwenye mwamvuli wa kabila lingine (kwa jina tu) pasipo kupractice taratibu/tamaduni za kikabila, wazazi nao hawakuwa watu wakufatisha mambo ya "makabila" ilipofika muda wa kujua uhalisia ndio ikawa kimbembe 😅Ulikuwa unajua wewe ni kabila lingine kisha ukagundua halikuwa lako? Au ulikuwa unaishi bila kabila kabisa?
Dont care..haha it helps sometimes cz u dont expect anything from anyone au sio[emoji848]This reminds all of us that we are humans.
My kiddo tells me that 'I love fast'
The only thing she doesn't know is I only love one person at a time.
I am good person very very good person this becomes a weakness kabisaaaa...
I can stay three years without relationship...
I tried to live a holy life all my life...I got family problem and I said let me naught and rude person but I couldn't no matter hard I tried to be rude.....
The problem I got made me not to care some of the things....tried new things...but I go to square one......
Was reasonable to most of actions...now (post problem ) bora liende tuu...
Am funny sometimes....
Am sad sometimes.....
I cry sometimes ......
Now days not scared things I used to be scared with...nowadays panya anaweza ingia ndani instead of buying dawa I let it live with me...akila mkate I don't mind...I remove that part then naula...in short I don't care some of the things I used to months ago...( Im going through changes - Charles Brown)
But deep down I know am good person...
And the story continues....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simpendi kiumbe nyoka dizaini zote!.. Tena chatu anaeviringisha ukitaka uone mbaliga zangu nilione hilo dubwana chatu ila hawa wadogo wadogo napambana nao akiingia ndani ni ama mimi nile kona au yeye[emoji28]
Narudia tena chatu namuogopa maana kama hata simba tu akizubaa anamezwa je mimi mbavu mbili..?
Si bora nikimbie km 1 kwa sekunde ili niione kesho kuliko kujitia ununda kwa kupigana na chatu..[emoji28]
Nilishawahi kuzama kwenye mto bwawa tulikuwa tunaogelea wenzangu baada ya kuona huyu mtu ndo anaenda sasa wakanikimbia majinga Yale!!
Nilivyoona hapa ntakufa nilipiga mbizi si za nchi hii! Tokea hapo maji nayoyapenda ni ya kuoga na sio ya kuogelea..[emoji23]
Nilikunywa vikombe viwili vya ujazo na maji yalivyo yanakupeleka chini yanakurudisha juu na kwenye kurudi ndipo unapokunywa kikombe sasa..
Maji nakuheshimu nitabaki kuwa baharia wa nchi kavu tu karagabao..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliumwa washkaji wakaniambia kapime tukafika kwenye ki-dispensary dokta akaniambia lete kidole tukuchukue vipimo.
Nikamuuliza hicho kipimo unakichukua kwa mtindo upi akasema nataka damu yako niifanyie vipimo ili tujue kwa hakika ugonjwa unaoumwa.
Nikamuambia nina jeraha bichi nililoumia leo unaonaje nikamue damu nikupe ufanyie vipimo kuliko kuniongeza kidonda kingine. Dokta akawa anacheka mi nikamjibu niko serious ka vipi we nipatie mseto tu swala la kutoboana naona dusko tu
Mrembo wangu sikuhizi umenigaya..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu naomba niongee na wewe kama hutajaliNatamani ningeandika kwa ID nyingine.
Sijipendi, sioni sababu yakuishi. Sifurahii maisha na sijui ni kwa nini. Sina maisha mazuri ila ninakula na kulala kwangu na siombi cha mtu.
Ukiniona huwezijua kama moyo wangu umepondeka kwasababu ninadress smart, ninacheka inapobidi (sio sana), ninachangamka nikiamua.
Sina hofu ya aina yoyote kwenye maisha yangu.
Sijisikii tena kuchase ndoto zangu.
Tangu nipo shule ya msingi nimekua nikijaribu kujiua ila nashindwa. Sijui kama ngao ya maji ilikua haiui ila nikiwa darasa la sita nilikunywa ngao na sikufa wala sikuumwa tumbo. Vingine siwezi kuandika. Jaribio lamwisho la kujiua nililifanya nikiwa form six. Halikufanikiwa
Mwaka jana nilipata kazi serikalini, msimamizi mkuu wa ngazi ya wilaya akanitishia kunifuta kazi kwa sababu zisizo za msingi, nikamwambia me nimeshaifuta hiyo kazi kichwani, kazi kwako.
Mwaka huu mkurugenzi wa mamlaka niliyopo kwa muda alikuja kiukaguzi akaongea maneno machafu sana, akatusimangia watu chai ya ofisi nikamwambia mkuu ni chai ya rangi na chapati mbili kama unaona tunafaidi sana sema tukuagizie kuliko kuitolea macho ukudhani ni chai zenu za makao makuu.
Sijui kama mtoa mada alitaka haya au mengine, nowadays nina mashaka hata na uelewa wangu.
Pole sana mkuuNikiwa na miaka minne ilikuwa mitaa ya uswahilini flani hivi nilizama kwenye karo(shimo) la maji machafu ya choo kabisa.nikanywa vikombe kadhaa humo akaja bibi ambaye watu walikuwa wanamuogopa kuwa ni mchawi ndo alinitoa humo.sijui niliponaje ila namshukuru M/Mungu tu.
Kingine ambacho huwa nashindwa hata kuelezea nikaeleweka ni kuwa huwa nala ili niishi,yaani sienjoy chakula hata huwa naona hakuna tofauti kati ya kula wali au ugali,samaki au mchicha yani huwa nala ili tu chakula kingie tumboni.Muda mwingine kula huwa naona kama kupoteza muda tu.
Mambo mengi ndugu yangu.Mrembo wangu sikuhizi umenigaya..!
Pole!Mambo mengi ndugu yangu.
Vyuma vimekaza
Akhsante..Pole!
Mi mzima sijui wewe tu..Akhsante..
Uko poa?
Niko poaMi mzima sijui wewe tu..
Ila mwenzio nakupenda ki yesuyesu..😂Niko poa
AkhsanteIla mwenzio nakupenda ki yesuyesu..[emoji23]
Nakuja maana hakuna namnaAkhsante
Twende kwa Yesu Mimi nawe
Njia atuonya tuijue
Imo chuoni na mwenyewe
Haya asema njoo