Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
-
- #301
What about Area 51?Before someone uncovered to the world about the Atomic City, and Los Alamos, before Hiroshima and Nagasaki got bombed by nukes everything about atomic bomb and Atomic City seemed to be a conspiracy theory.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Maza yangu yangu alikuwa akinisimulia kwamba:, dingi alikuwa na kibuyu cha maziwa fresh, so Kabla ya kusafiri kwenda kokote kule, alikuwa anakwenda kuchungulia kwenye kibuyu hicho cha maziwa, akikuta maziwa yameganda, safari inaiailishwa. [emoji23][emoji23][emoji23]Ogopa sana kamati ya propaganda ya tanu watu waliamian mdingi wetu ni super human
hata zile secret camera za wanajeshi wamarekani hazikuonesha namna ambavyo Osama aliuliwa Bali milio ya risasiOsama alikuwa ni muislam.
Islamic law requires burial within 24 hrs
Maziko waliyomfanyia ya kuzikwa baharini ni aina ya maziko ambayo uislam unayakubali if was the probably option available.
Sababu ya kumzika baharini ni kuepusha eneo lake la maziko to become a shrine or monument to him for other terrorists.
Kumbuka al-Qaeda hawakupendezwa na hiko kitendo cha kuuliwa.
Kwanini unadhani ilikuwa ni lazima kupiga picha ya marehemu na kuwawekea mtandaoni? Hata marehemu anastahili kustiriwa haijalishi enzi za uhai wake alikuwa tishio vipi.
So kumzika mapema, bila picha, na baharini was the only way they could avoid committing an offense against Islam.
kwamba aliens👽👽👽👽 kutua hapo hiyo no conspiracy theory ile ni base camp ya kijeshi kwa ajili ya majaribio mbalimbali ya angaWhat about Area 51?
Dear Carcinoma,Kuna kitu watu wanaita deja vu.. hii huwa ni feeling ya familiarity kwa situation au sehemu ambayo hujawahi fika au experience before..
Mfano uko unapiga story flani na washkaji zako mnacheka then akaja mtu mwingine kuwajoin. Sasa wewe unahisi kama hilo tukio lilishawahi kutokea mazingira hayo hayo.. au unaenda sehemu mpya ambayo hukawahi kufika lakini unahisi kama umewahi kuiona hio sehemu mahala flani... hio ndio inaitwa deja vu..
Sasa wazee wa conspiracy wanasema kwamba tukifa tunarudi tena duniani kama watu wengine.. so inawezekana wewe hapo kwenye maisha yako yaliyopita ulikua unaishi Nairobi una mke na watoto. Baada ya kufa ndo umezaliwa bongo.. kwahio siku utakapoenda nairobi utahisi kama vile unapafananisha flani hivi..
NB.. deja vu ni moja ya sign ya mental disorder..
Nilichoelewa hapo ni kuhusu Finland "Conspiracy". Yaani nimeelewa kuhusu huo uzushi kuhusu Finland namna ulivoanza na evidence wanazotumia kuupalilia huo uzushi.
Ni kama yule uliyekwisha tuma picha yake huku.Pigeon kibongo bongo ni njiwa pori? Kama ni njiwa pori nimewahi kuona hadi mayai.
Kwahiyo osama hajafa?hata zile secret camera za wanajeshi wamarekani hazikuonesha namna ambavyo Osama aliuliwa Bali milio ya risasi
2.kutofautiana presentation kati ya rais Obama na msemaji wa ikulu juu ya ripoti ya shambulizi hilo
but remember he was undercover agent wa CIAKwahiyo osama hajafa?
Au unaamini alikufa kabla ya shambulio lililofanyika?
Hata mimi najiuliza hivyo hivyo kuhusu abiria wa hizo ndege. Na ndio maana naiona ni conspiracy theory ya ajabu sana. Labda nikasome vizuri zaidi hoja wanazozijenga kuzungumzia abiria wa hizo ndege.Hii ya Finland nimeielewa vyema asante nitapata cha kusimulia.
Hii ya ndege kama ilifichwa na kuwa reintroduced vipi abiria waliokuwamo ndani?.
Mkuu hapo kwenye No 2,Sijui kama haya yameshatajwa:
1. Rais wa Marekani huwa hachaguliwi na wapiga kura siku ya kupiga kura, bali, kuna kikundi cha watu [kama Freemason...whatever the fcuk that is] ambao ndo huamua nani awe Rais. I say it’s bullshit just like the rest of the conspiracy theories.
2. Kile kifimbo cha Nyerere eti hakuna mtu aliyekuwa anaweza kukibeba zaidi yake yeye. Mfano, eti alipokuwa anakiacha mezani, hakuna mtu mwingine aliyekuwa na uwezo wa kukinyanyua. Eti kilikuwa ni kizito kupita maelezo. Bullshit.
3.The legendary, the late great Tupac Amaru Shakur, faked his own death. Over the years there have been so many Tupac ‘sightings’. Mara sijui anaishi Cuba. Mara kaonekana huko Belize. Mara yupo Ethiopia. Conspiracy theorists ni kama hawana[ga] common sense. Imagine mtu kama Tupac with his big mouth eti akae kimya huko aliko na hizi social media platforms zilizopo. Pata picha Tupac angekuwa hai halafu ana platform ya Twitter. Pac was woke before woke was woke. Way ahead of his time.
4. Kupotea kwa ndege ya Malaysia, MH370 miaka 6 iliyopita. Ndege hiyo iliyokuwa inatokea Kuala Lumpur kuelekea Beijing, China, ilipotea tarehe 8, Machi 2014!
Mpaka leo hakuna ajuaye kilichoitokea ndege hiyo zaidi ya kwamba ilipotea.
Kukosekana huko kwa sababu iliyoifanya ndege hiyo kupotea ndiko kumetoa mwanya kwa kila aina ya conspiracy theory. Kuanzia kumezwa na black hole hadi kutekwa na Warusi...Putin [emoji1787]. Bullshit.
Wanaodai Osama bin Laden hakuuawa 2011 ukiwaambia hiyo hoja yako kuhusu picha ya maiti ya Osama watakuuliza mbona picha za maiti ya Abu Musab al-Zarqawi, gaidi maarufu wa Iraq aiiyeuliwa na wamarekani mwaka 2006 zilioneshwa? Au huyo maiti yake haikustahili kusitiriwa ila ya Osama ndio imestahili kusitiriwa?Osama alikuwa ni muislam.
Islamic law requires burial within 24 hrs
Maziko waliyomfanyia ya kuzikwa baharini ni aina ya maziko ambayo uislam unayakubali if was the probably option available.
Sababu ya kumzika baharini ni kuepusha eneo lake la maziko to become a shrine or monument to him for other terrorists.
Kumbuka al-Qaeda hawakupendezwa na hiko kitendo cha kuuliwa.
Kwanini unadhani ilikuwa ni lazima kupiga picha ya marehemu na kuwawekea mtandaoni? Hata marehemu anastahili kustiriwa haijalishi enzi za uhai wake alikuwa tishio vipi.
So kumzika mapema, bila picha, na baharini was the only way they could avoid committing an offense against Islam.
Sasa haujaniambia bado hiyo nadharia inasemaje.
Bila shaka.Kwahiyo ni duara sio tufe?
I heard that it was Iran who made the virus because of trade interest between it and China. Have you ever heard that?That Corona virus was actually man made in a lab by China in Wuhan and it was accidentally realised into the city by a lab employee. They made this Virus as a bioweapons on their own people.
Sent using Jamii Forums mobile app
Im sorry .Dear Carcinoma,
Hapo yote uliyoyaongelea ni sahihi lakini umechanganya maelezo.
Hapo umeongelea DejaVu na Reincarnation.
DejaVu ndio inahusisha feelings kwamba ume experience jambo kabla halijatokea.
Na kisayansi it is an occurrence of short term and long term memory being jumbled together, which makes a moment SEEM like it happened a long time ago, when in reality, your brain is recalling an event that only happened recently.
Hii ni kweli kabisa na ina udhibitisho wa kisayansi.
Hiyo ya pili uliyoielezea inayohusisha mtu kufa ni Reincarnation, sina uhakika kama ina udhibitisho wa kisayansi ila kuna watu wanashughudia hayo.
Kuna uongo mwingine unashabihiana sana na kweliGlobal warming ain't real, it is a lie perpetuated by politicians, environmental stakeholders and media for financial motives.