What are some crazy interesting conspiracy theories?

Bado sijapata file lake. Kila nikimwita aje nimkague ananisemesha kimombo. Nshalipa ada kwa Ras Simba...muda si mrefu ntakuletea ripoti
Sawa babu, naisubiri hiyo report.

Huyu mtoto amesababisha mpaka siku hizi najifanya kusoma soma ovyo ili tu nielewe anachokiandika, ila shida iko pale pale.
Nyie wazee nyie...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu umenena vyema kabisa!

Nakubaliana na wewe, ila naomba kuongeza vitu japo ntatoka nje ya thread.

Nimeguswa na ulipomzungumzia masih dajjal. Hiki kiumbe Ni rahisi kukitambua.

1. Dajjal anasifa ya kuongea uongo. Hi ndo sifa kuu aliyonayo. Akikuonesha Moto Basi ujue huo sio Moto Bali Ni pepo, na akikuonesha pepo Basi ujue hiyo sio pepo Bali Ni Moto.

2. Dajjaal anatazama kwa jicho moja. Kwa maana jicho lingine Ni chongo. Hii ndio sababu akapewa jina la mfalme wa jicho moja. Hili jicho hutumika Kama nembo ya wafuasi wa dajaal. Ukiangalia kwenye noti ya dola ya US utaiona hii alama ya jicho moja.

3. Katika paji la uso wa dajjal kunamaandishi
كفر (kafir).

Hivyo Basi kwakutumia alama hizo utaweza kumgundua dajjal hatakama atajifanya kuwa masih issa (A.S)



 
.......That Every POTUS being guarded by an alien and that during the end of 18century was established a strong agreement and alignment with foreign species from planet X, exchanging technology reseaching and developing various inventions....Marks the birth of Area 51.
 
Swahili speaker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah, ziko nyingi sana, ngoja nitaje chache.

1. Mtu kwenda mwezini.
2. Uwepo wa Aliens
3. Nadharia ya Evolution
4. Solar System
5. Time Travelling
6. The Big Bang Cosmology
7. Ukimwi ni Ugonjwa wa zao la Maabara. (Kwa ufupi hakuna mtu anae weza kutengeneza ugonjwa wala kutengeneza kirusi, na hatakuja kutokea).

Na nyingine kibao....
 
I wonder why these flat earthers think it would benefit NASA to lie about it. Why would they lie? It gets crazier.

Cc Zurri and REALITY.
Pili, kuna muda kutokujua sababu ni bora kuliko kujua sababu,lakini swali la msingi ni kuwa kwanini wanadanganye watu ? Hapa ndipo pa msingi, huko kwingine ni ziada na si jambo la msingi sana.
 
Wamewaibia watu wa uswahilini pesa sana hasa buguruni,tandika, mwananyamala n.k kwa kuwauzia cd
 
Kumbe tupo kifungoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2. Ukijinyoa nywele wewe mwenyewe utakufa haraka
Hizi zilikuwa busara za wazee, ili kumakinisha jambo na kulifanya kwa ufanisi mkubwa zaidi, kwa ufupi njia walizo kuwanatumia sio nzuri sababu huwajenga vijana bila kujua sababu, lakini kwa mfano kama huu ni kufanya usije kujiumiza au kuonekana kituko kimuonekanao, kama vile tulivyokuwa tunaambiwa ukifagia usiku unakimbiza au unafukuza RIZKI, lakini pale walikuwa wanatumia hekima kwa kulipa uzito jambo, kwani kufafia usiku ilikuwa inabakiza uchafu mwingi yaani kama hujafagia vile.

Nachokiona mimi bora tu wangekuwa wana tuchana wazi wazi, kwamba usifagie usiku, sababu ufanisi wa jambo hilo unakuwa mdogo.
 
Mandela Effect ndio kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
The Mandela effect is, depending on who you ask, either a weird phenomenon where large groups of people misremember the exact same given thing in the exact same way, or the pseudoscientific belief that some differences between one's memories and the real world are caused by changes to past events in the timeline. Many proponents of the latter believe it is caused by accidental travel between alternate universes, although some others propose that history has been deliberately altered after the fact by malicious extradimensional beings within the same timeline.
It was named after Nelson Mandela, whom some people erroneously believed to have died in prison in the 1980s.
 
More and more examples on Mandela Effect,

Nelson Mandela's Death
Let's start with the reason we're all here. Nelson Mandela, who this theory is named after, died in 2013. However, countless people distinctly remember him dying in prison in the 1980s. But his death isn't the only example of a Mandela Effect. We have been wrong about so many dates, details, and more. Keep going for more commonly misremembered moments in history
 
I've got you😜😜😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…