Hii waitafsiri vipi?
Mfahamu Sananda na utengenezaji wa picha ya Yesu ili kumwandalia njia mpinga Kristo
Salute Comrades
Tunaishi katika dunia ambayo vitu ambavyo ni vyakweli vinaonekana ni
Uongo (Conspiracy) na Vitu vya uongo vinaonekana ni
Kweli. Lakini pia kuweka mahaba ya dini mbele kupita kiasi bila kufanya Uchunguzi
Sananda ni nani..?
Ni miongoni mwa wale malaika 200 waasi ambae atatumika kudanganya watu kua ni kristo. Kwa Waislamu wanamwita DAJAL.
Kuna picha ambayo inajulikana na wengi kama ni picha ya Yesu,ukweli ni kwamba picha hiyo inayodhaniwa kuwa ni ya Yesu sio kweli bali ni ya fallen angel mmoja anaefahaika kama Sananda na jina hili linajulikana kwa wafuasi wao na alishafanya kikao na wafuasi wake na akawapa maelekezo namna ya kufanya
Picha hii yenye sura ya mzungu mwenye ndevu nyingi na sura ya aina fulani imeshatangazwa sana na imeingia kwenye kumbukumbu za watu kwa kiwango cha kutisha na hata leo ukiwaambia huyu ni nani utasikia wakisema kwamba huyu ni Yesu
Mbinu hii ilianza zamani sana na kupewa baraka na makanisa ya Kikristo kufikia hatua ya kuwaaminisha watu kwamba huyu ni Yesu.Ndio maana akitokea mtu fulani ambae anakaribia kufanana na sura hiyo utasikia watu wakisema kwamba "anafanana na Yesu"
Utengenezaji wa Filamu ya Yesu (Jesus of Nazareth 1979) Brian Deacon.
Ni Filamu iliyo engenezwa mwaka 1979 ikionyesha maisha ya Yesu kristu ilitengenezwa na
John Heyman na kuongozwa na Peter Sykes na John Krish. Ilitengenezwa kupitia injili ya mtakatifu Luka. ilifadhiliwa na
Campus Crusade for Christ bajeti yake ikiwa ni $6Mil. ilishutiwa Israel.
Project nzimma ilisimamiwa na
Jesus Film Project ambayo ilikua chini ya
Evangelical Organization.
Brian Deacon ndie alikua mwigizaji mkuu kama Yesu.
Deacon alikua mwigizaji pekee aliyeshinda kwenye mchujo waigizaji 263 ambao walitaka kuigiza kama Yesu.
Sasa ipo hivi...
Leonardo da Vinci alimchora Caesar Borgia mtoto wa Papa Alexander 8 ile picha akailemba kidogo ikawa na mwonekano tofauti. Lakini ile picha hàkua amemchora Borgia Alikua kamchora Sananda. Brian Deacon kapita kwenye mchujo huo wa watu 260 kilichokua kinatafutwa ni mtu atakayefanana na ile picha aliyechora Leonardo da Vinci ambae ni Sananda mwenyewe. Sasa bahati ikaangukia kwa Deacon akafanyiwa na make up kidogo akawa amefanana na Sananda . Picha imechezwa na lengo lao limetimia. Leo hii mtu akiona picha ya Deacon atasema ni Yesu.
Lengo ni kwamba Watu tukalili kua yule tunayemwona kwenye picha tuseme ndie Yesu Tukishakua na Mentality hio ikifika ule wakati wa mpinga kristo/Dajal kuja duniani watu wengi watamfuata kwasababu watakua wamekariri kua ndie Kristo Masihi. na atakua na uwezo wa kutenda miujiza kama Yesu kristo.
Ndugu zangu hizi ni nyakati za mwisho, shika imani yako kishujaa usiyumbe yumbe wewe Mkristo.
Ahsanteni & Tchao.
-Vinci