Whats wrong with Kanye?

Whats wrong with Kanye?

"I know this gonna cost me my family,my life and my entire career, ."

Ukwel ni kwamba kanye amepitia mengi sana watu wanaona juu juu, mojawapo kubwa ni la loss ya mama yake, pia usikilize wimbo vizur wa through the wire

jamaa amepitia magumu mengi... na kuhusu kuhusisha na freemason ama iluminati, sio strong point sababu he is already in there, halaf watu wanaishia kusema tu freemason ama iluminati kuna kitu huwa wanafanya na wasanii weng wakubwa wa marekani wamefanya, nikipata wasaa ntawambia the reality, na baadhi wamewahi kukiri hadharani..lakin clip za video zao hua hazionyeshwi sana labda utafute mwenyewe ...unajua mtu kama brad pitt hua anafanya nini kila mwezi ili azidi kufanikiwa katika filamu? unajua why mtoto wa usher alikufa? Unajua why michael alienda solo kutoka kundi la jackson five,unajua alijiunga na nini na kivipi ilikuaje? unajua stor ya lil wayne vizuri? Why saiv anapata kifafa na ansema antaka kuacha muziki,
unajua beyonce ndo ameingia rasmi humo mnapopaita iluminati japo sio iluminati ni namna nyingine japo pia na yeye ameanz kufundishwa umasonia awe kama mumewe jay z ambae ana rank/level kubwa katika vyeo vya umasonia...mnaijua stor ya dmx japo kuna mtu kadokeza kidogo laki hio ni kidogo....anyway ntakuja kuwapa haya mambo mjue ukweli.
Nasubiria mkuu please usiache kuni tag
 
Kanye anataka kutoka huko Illuminati na wajua alisema Indirect kuwa alimtoa mama yake kafara for his success sasa hii kitu ilimla sana. That's why now he has seen the light anataka toka. But tatizo he knows too much kumuachia hivi hivi aropoke. Kama umemsikia kwenye Ile show anasema kuwa nachowaambia Ni ukweli people mnadanganywa na media zote. Anamnanga na mama Clinton pia ambaye kwenye kampeni ndio alikuwa Mtu wake ( she is Illuminati)
We hujiulizi kashuka tu kwenye show wamemata eti yuko insane wamempeleka rehab kwa lazima. Na huko watambrainwash akirudi atakuwa kama zombie just like walichomfanyia Britney Spears. Na hii ishu ya kufilisika wala hajafilisika. Kasema by telling u this truth naeka hatarini maisha yangu, mafanikio yangu.
DMX kamuelewa coz yalimtokea na ndipo akaokoka but most of the rappers Ni Illuminati that's why wako kimya hawamtetei msela
 
Hata ukimwangalia usoni unagundua jamaa kichwani panachemka, jamaa ni kichwa sana naamini huu ni upepo tu utapita na atarudi even stronger!
Kanye anaongea ukweli people r so blind to see. Wala sio kichaa. Na usitegemee atarudi vile utakavyo kama alitoka huko kwneye hiyo hospital yao atakuwa kama zombie tu or they may kill him kabisa. Asiongee tena mambo yao
 
Tatizo ambalo tunalo sisi Ni kuwa tunaamini kila kitu media inachosema. They own the media wanasema wanachotaka wao na wewe utaamini coz kimesemwa sijui CNN au FOX
Kama ambavyo walisema sadam Ana silaha za sumu hatari lazima atolewe tukaamini na hata ukiulizwa wapi umeyajua hayo utajibu CNN etc So for kanye hizo media stories zote ziko planned uziamini. Yaani akitokea artist yoyote ambaye atataka kuongea ukweli THE Truth. La atakufa au watampaleka mental institution wakisema Ana stress,madeni etc kama kwa Britney Spears... But hamlazimiashwi kuamini kama mnavyoamini habari za media zao
 
Trump alisema you are been lied by the Media. Ndio maana kanye kasema kaama ningepiga kura ningempa Trump
 
Pamoja na historia ya matatizo yake, what about everything he's saying, are they relevant?
Watu hili hawataki kuliongelea kabisa wamekazania kuwa jamaa stress sijui kichaa. Hata media hata moja hazisemi kuhusu alichokiongea kabisa as if hakikuwepo na kuongea mambo sensitive kabisa. They own the media so hawawezi RUHUSU hata wadiscuss hiyo kitu
 
Kanye ni mfano tu wa wasanii ambao wako under MK-Ultra mind control na hata hii skit ya yeye kuloose it hamna lolote waliona kwnye show kawaumbua wakubwa zake wakaona bora waseme kua ni kichaa in the mean time huko hospitali hatujui wanamfanya nn. Nakumbuka maneno ya Dave chapelle aliposema kua there is something wrong with hollywood. Kila msanii ana njia yake ya kudeal na his own deamons....mfano britney alijinyoa nywele,Kanye amerant kwnye stage badala ya kuperform. He just needs prayers.
Dave na Britney waliwafanya hivyo hivyo walivyotaka kuongea then huko hospital walijua walichowafanya wakatoka waoga kabisa hawasemi tena.
Kat William walijitahidi kumpelekesha but bado anawachana coz aliwakataa
DMX ndio aliwagomea
Tupac na KILLllluminat alikuwa pia hata kuwa mind controlled
 
MTV=Masonic Television ndio maana kanye kaichamba live kuwa tuzo zile ziko planned watu wao tu kushinda.
 
Most of these illuminat stories are fabricated, kanye has mental problems nothing else!
Are u a doctor? Kapiga nyimbo mbili vzri then akaongea ukweli. Then kushuka wamemuweka pingu wakamtia madawa huyo straight mpk mental institution .....walimpima SAA ngapi huko ukichaa. Au coz kawaongelea watu wao wazito kama mama Clinton,Jay z,Beyonce DJ Khalid, na hiyo TV yao MTV
 
he lost his mother, plus marital problems,the guy is just confused,he should just go to rehab and unwind a little bit lol
 
Naona wengi humu wanasema tatizo ni kwa sababu kampoteza mama yake ..kwani yeye Kanye ndio wa kwanza kufiwa na mama ?

mmmmnh kwa hio asilie?kwani wote mlizaliwa na mama yake?uanaume ni kukubali udhaifu sometimes.
 
mmmmnh kwa hio asilie?kwani wote mlizaliwa na mama yake?uanaume ni kukubali udhaifu sometimes.
Heee wewe umeguswa wapi asubuhi yote hii unakuja kama .......ni wapi nimesema asilie ? Aliyesema wote tumezaliwa na mama yake ni nani ?

Yeye ndio wa kwanza kufiwa na mama ?
Dk Donda West amefariki Kanye akiwa na umri gani ?
Kama hicho ndio kigezo cha kuwa chizi waliofiwa na mama zao wakati wananyonya au mama anakufa wakati unatolewa kwa operation si watakuwa mashetani ?
Uanaume ni kuacha ya nyuma yapite na kusonga mbele
 
Back
Top Bottom