"I know this gonna cost me my family,my life and my entire career, ."
Ukwel ni kwamba kanye amepitia mengi sana watu wanaona juu juu, mojawapo kubwa ni la loss ya mama yake, pia usikilize wimbo vizur wa through the wire
jamaa amepitia magumu mengi... na kuhusu kuhusisha na freemason ama iluminati, sio strong point sababu he is already in there, halaf watu wanaishia kusema tu freemason ama iluminati kuna kitu huwa wanafanya na wasanii weng wakubwa wa marekani wamefanya, nikipata wasaa ntawambia the reality, na baadhi wamewahi kukiri hadharani..lakin clip za video zao hua hazionyeshwi sana labda utafute mwenyewe ...unajua mtu kama brad pitt hua anafanya nini kila mwezi ili azidi kufanikiwa katika filamu? unajua why mtoto wa usher alikufa? Unajua why michael alienda solo kutoka kundi la jackson five,unajua alijiunga na nini na kivipi ilikuaje? unajua stor ya lil wayne vizuri? Why saiv anapata kifafa na ansema antaka kuacha muziki,
unajua beyonce ndo ameingia rasmi humo mnapopaita iluminati japo sio iluminati ni namna nyingine japo pia na yeye ameanz kufundishwa umasonia awe kama mumewe jay z ambae ana rank/level kubwa katika vyeo vya umasonia...mnaijua stor ya dmx japo kuna mtu kadokeza kidogo laki hio ni kidogo....anyway ntakuja kuwapa haya mambo mjue ukweli.