WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Na WhatsApp je?!! Mkoa niliopo hata WhatsApp ngoma haifanyi kazi tangu saa 12 unusu!!

Nimejaribu kutumia laini zangu za kampuni 3 tofauti na zote zimegoma!!

Ila JF kama hivi mwendo mswano
WhatsApp na Instagram zinamilikiwa na Facebook.
 
Wakuu naona mitandao tajwa hapo juu kwangu imegoma tangu mida ya saa 12 na dakk 40 jioni, awali nilifikiri ni tatizo la network ila naona youtube inapiga kazi km kawaida, vipi kwako?
njoo telegraam
 
Mibongo mnapenda kuishi kwa kujishuku shuku muda wote
 
Hawana huo uwezo...ni wamiliki wenyewe wana hitilafu...ingia ktk browser itapata taarifa kuwa wana hitilafu wao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…