WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Mkuu unajitahidi kulalamika na kutuwakilisha.

Thread 'TIGO PESA mnavyofanya si haki hata kidogo' TIGO PESA mnavyofanya si haki hata kidogo

Thread 'Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo' Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

Ila Wana Yanga tunaomba utupumzishe
Thread 'Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba' Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba
😳 Mbona jina si langu?
 
Hili tatizo la WhatsApp, Facebook na Instagram kushut down kwa Mda wa lisaa hadi sasa litawahathiri sana wafanyabiashara wa Online

Hadi sasa haijafahamika tatizo aswaa la mitandao hiyo kuzimwa duniani kote ni nini

Kuna watu wamereset hadi simu wakijua maybe ni Network au cm imearibika ila laaa hashaa Apps zote zimeshut down

Wale wategemea hizi apps kufanya Biashara zao au kutangaza kazi zao basi litawahathiri kwa mda

[emoji1621]Hii inatukumbusha kwamba tusitegemee mitandao tu mda wowote inaweza kuzimwa na ukabaki huna cha kufanya kwenye biashara yako

[emoji1621]Ebu jiulize wakishutdown mwezi mzima hizi apps hali ya maisha na kiuchumi itakuwaje kwa wale wategemea mitandao hiyo kutangaza biashara zao na kujitangaza kupitia mitandao hiyo

[emoji599] Update Facebook, WhatsApp and Instagram wamecomfirm kwamba mitandao imeshut down kwa mda kutokana na Matengenezo na kuboresha apps hizo ndani mda mfupi kuanzia sasa zinarudi
 
Hili tatizo la WhatsApp, Facebook na Instagram kushut down kwa Mda wa lisaa hadi sasa litawahathiri sana wafanyabiashara wa Online

Hadi sasa ijafahamika tatizo aswaa la mitandao hiyo kuzimwa duniani kote

Kuna watu wamereset hadi simu wakijua maybe ni Network au cm imearibika ila laaa hashaa Apps zote zimeshut down
Ndio maaaaanaaaa! Nimehangaika sana!
 
Back
Top Bottom