WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Tupo wengi mamaeeee demu wangu kanitext haionyeshi tiki karibia nusu saa nzima imebidi anipigie kuniulizia tatizo ni nini....nimekosa jibu zaidi ya kumuambia mtandao maana hata kwangu text hazitoki
 
Mkuu unajitahidi kulalamika na kutuwakilisha.

Thread 'TIGO PESA mnavyofanya si haki hata kidogo' TIGO PESA mnavyofanya si haki hata kidogo

Thread 'Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo' Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

Ila Wana Yanga tunaomba utupumzishe
Thread 'Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba' Mo Dewji, puuza wanaokusakama mitandaoni, hao ni mashabiki wa Yanga wana wivu wa mafanikio ya Simba
Nimechekaaaa [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa yeye ni mtu wa malalamiko tu
 
Yuko kazini
20211004_195716.jpg
 
Wakuu whatsapp na instagram zinafanya kazi?

======

Popular social media platforms, including Facebook, Instagram and WhatsApp, were offline Monday during what appeared to be a widespread outage affecting users across the world.
Your are very right
 
Naon lishkua tukio la kihistoria
 
Back
Top Bottom