WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Haya ndio madhara ya kumpa mtu mmoja mitandao 3 amiliki mwenyewe ilitakiwa whasp wakaze wasiuze na insta walitakiwa wakaze wasiuze mtandao wao kwa mark haya yasingekuwepo, ona twitter iko fresh lakini ingekuwa imeunganishwa ingekuwa kitu 1

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu whatsapp na instagram zinafanya kazi?

======

Popular social media platforms, including Facebook, Instagram and WhatsApp, were offline Monday during what appeared to be a widespread outage affecting users across the world.
Mkuu, usiwe na wasiwasi Facebook wameunganisha mitandao yao yote yaani Facebook, Insta na Whatsapp, yote yatumia mfumo mmoja.

Hivyo, kama watumia mitandao hiyo kwa PW tofauti basi kuna kuchelewa kwa response.

Nafikiri kuna kitu wanataka watumiaji wafanye, ikifika Decemba tutaelewa.

Hii teknoloja mpya iitwayo Integrated Technology yasababisha matatizo ya kukatika kwa mtandao mara kwa mara.

Ila CEO bwana Zuckerberg ameazimia kuona mitandao yote yaunganishwa.
 
We’re aware that some people are experiencing issues with WhatsApp at the moment. We’re working to get things back to normal and will send an update here as soon as possible.

Thanks for your patience!Whatsapp
 
Kale ka mark naskia kamemhonga demu wake hii mitandao
Kwa mujibu wa intelijensia yangu nimepata taarifa kuwa kuna mtu kaingia kalewa ofisini kakojolea servers!,mkojo wake una madini chuma na nuclear power halafu na protein so wanashughulikia vyote viwili..😅
 
Back
Top Bottom