Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu poleNimefuta pilau nikijua storage
Ha ha ha ha ha daaaahFor sure kuna waioanza kuilaumu serikali
Hao ni lialia proMax
Sijui nani kakanyaga waya! Inakuwaje server zote za insta,fb na WhatsApp zinakuwa pamoja! Au Pandora inafanya kazi maana sahivi hiyo ndo habari ya dunia..🤣Watu wengi waliamiaga telegram and whatsaap kua chini naona worldwide inaipa advantage telegram
Si ungeona nimejitaja hapo kama ningekuwemo..Au unataka vurugu..!na wewe umo?
Ahsante[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu pole
Yah.Si ungeona nimejitaja hapo kama ningekuwemo..Au unataka vurugu..!
Mkuu, usiwe na wasiwasi Facebook wameunganisha mitandao yao yote yaani Facebook, Insta na Whatsapp, yote yatumia mfumo mmoja.Wakuu whatsapp na instagram zinafanya kazi?
======
Popular social media platforms, including Facebook, Instagram and WhatsApp, were offline Monday during what appeared to be a widespread outage affecting users across the world.
Kwa mujibu wa intelijensia yangu nimepata taarifa kuwa kuna mtu kaingia kalewa ofisini kakojolea servers!,mkojo wake una madini chuma na nuclear power halafu na protein so wanashughulikia vyote viwili..😅Kale ka mark naskia kamemhonga demu wake hii mitandao