WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Utakuja kurogwa wewe sio TISIARAEI ni wao hukohuko akina wasapu.
 
Mkuu siyo TCRA hata hapa Copenhagen Denmark inasumbua pamoja na Facebook. Nilitaka kuleta uzi kama huu umeniwahi Aisee. Sijui ni global phenomenon
 
Nime re start simu Kam mara 5 na kuongea bundle no response kumbe wamesha fanya Yao
 
IMG_20211004_195122.jpg
 
Hata facebook,instagram haziko sawa,nikajua bando limeisha,nna Mb 600+.
Video hazichezi na comments hazifunguki.net 4G
 
Back
Top Bottom