WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Kosa kubwa sana kummilikisha mtu mmoja mitandao yote 3

Matokeo take ndio haya ni sawa na ttcl iimeze tigo na voda

Or kama serikali ilivyomeza mifuko yote ya hifadhi ya jamiii

Whatsapp kama wasingeuza ungekuta leo wapo on, insta wasingeuza ungekuta wapo on isingekuwa rahisi mitandao mi3 kuzima kwa pamoja


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Ispokua Iran[emoji16]
20211004_180445.jpg
 
Back
Top Bottom