Hili tatizo la WhatsApp, Facebook na Instagram kushut down kwa Mda wa lisaa hadi sasa litawahathiri sana wafanyabiashara wa Online
Hadi sasa haijafahamika tatizo aswaa la mitandao hiyo kuzimwa duniani kote ni nini
Kuna watu wamereset hadi simu wakijua maybe ni Network au cm imearibika ila laaa hashaa Apps zote zimeshut down
Wale wategemea hizi apps kufanya Biashara zao au kutangaza kazi zao basi litawahathiri kwa mda
[emoji1621]Hii inatukumbusha kwamba tusitegemee mitandao tu mda wowote inaweza kuzimwa na ukabaki huna cha kufanya kwenye biashara yako
[emoji1621]Ebu jiulize wakishutdown mwezi mzima hizi apps hali ya maisha na kiuchumi itakuwaje kwa wale wategemea mitandao hiyo kutangaza biashara zao na kujitangaza kupitia mitandao hiyo
[emoji599] Update Facebook, WhatsApp and Instagram wamecomfirm kwamba mitandao imeshut down kwa mda kutokana na Matengenezo na kuboresha apps hizo ndani mda mfupi kuanzia sasa zinarudi