WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Hili tatizo la WhatsApp, Facebook na Instagram kushut down kwa Mda wa lisaa hadi sasa litawahathiri sana wafanyabiashara wa Online

Hadi sasa haijafahamika tatizo aswaa la mitandao hiyo kuzimwa duniani kote ni nini

Kuna watu wamereset hadi simu wakijua maybe ni Network au cm imearibika ila laaa hashaa Apps zote zimeshut down

Wale wategemea hizi apps kufanya Biashara zao au kutangaza kazi zao basi litawahathiri kwa mda

[emoji1621]Hii inatukumbusha kwamba tusitegemee mitandao tu mda wowote inaweza kuzimwa na ukabaki una way out ya kufanya kazi zako

[emoji1621]Ebu jiulize wakishutdown mwezi mzima hizi apps hali ya maisha na kiuchumu itakuwaje kwa wale wategemea mitandao hiyo kutangaza biashara zao

[emoji75]Mark zuckerberg kashashiba hela za mitandao
Nimehangaika mno yaan daah
 
Safi sana.
Dunia tushaizoea sana kwakuwa mambo mengi ni yaleyale.
Hii mitandao ikizimwa kwa mwezi mmoja basi na wengine watainuka na kuwa maarufu.
Waizime tu hata jumla
 
Hili tatizo la WhatsApp, Facebook na Instagram kushut down kwa Mda wa lisaa hadi sasa litawahathiri sana wafanyabiashara wa Online

Hadi sasa haijafahamika tatizo aswaa la mitandao hiyo kuzimwa duniani kote ni nini

Kuna watu wamereset hadi simu wakijua maybe ni Network au cm imearibika ila laaa hashaa Apps zote zimeshut down

Wale wategemea hizi apps kufanya Biashara zao au kutangaza kazi zao basi litawahathiri kwa mda

[emoji1621]Hii inatukumbusha kwamba tusitegemee mitandao tu mda wowote inaweza kuzimwa na ukabaki huna cha kufanya kwenye biashara yako

[emoji1621]Ebu jiulize wakishutdown mwezi mzima hizi apps hali ya maisha na kiuchumi itakuwaje kwa wale wategemea mitandao hiyo kutangaza biashara zao na kujitangaza kupitia mitandao hiyo

[emoji599] Update Facebook, WhatsApp and Instagram wamecomfirm kwamba mitandao imeshut down kwa mda kutokana na Matengenezo na kuboresha apps hizo ndani mda mfupi kuanzia sasa zinarudi

Ata ukiwasha VPN wap kitu kinagona kuingia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1531]
 
Nimebadilisha na sim card nikanunua na kifurushi
Kumbe ni wenyewe huko

Kaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom