WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

GB2 na zinaisha masaa mawili yajayo ntamalizia wapi hizi na apps zimezimwa? Shetani ananguvu sana haya bna acha tu niende xxvideo
 
Hua nawaza sana.. kwa wale ambao tunafanya backup ya mambo yetu muhimu kwenye GoogleDrive, dropbox, etc.. kama server zao zikazingua mazima, Mfano server za Google Sjui ITAKUWAJE????
 
Hua nawaza sana.. kwa wale ambao tunafanya backup ya mambo yetu muhimu kwenye GoogleDrive, dropbox, etc.. kama server zao zikazingua mazima, Mfano server za Google Sjui ITAKUWAJE????
sivyo unavyofikilia mkuu haya mambo GOOGLE FACEBOOK WHATSAAP and CO
wanabackup majimbo tofauti tofauti marekani
lbda ilipuliwe marekani nzima ndio data zitapotea
kikichotokea ni tatizo la kiufundi ambalo limekuwa nje ya uwezo wao kwa muda mchache
halafu internet haitoki kwenye SATELLITE kama wengi wanavyofikilia
kutoka MAREKANI mpaka BONGO internet imekuja na waya(cable) mpk daresalaam
 
Wee acha tu
Mazoea yana tabu yaani kutumia direct line huwa nasahau kabisa nimezoea Whatsaap tu
Sasa leo ni mwendo wa Simu za kawaida tu
Ila huyo muweka hazina mbona yamemkuta [emoji24][emoji24]
Kanipigia simu ananiuliza nifanyeje... nikamwambia tu weka bando pigia mmoja baada ya mwingine... ndio gharama ya kukubali kuwatumikia wananchi pale serikali kuu inapokutosa hahaha
 
Mimi pia..niko njiani nikajua shida net..au bundle.
Ahsante
 
Facebook clients (Whatsapp, Instagram, Facebook) were hacked by a Chinese hacker. Personal information of 1.5 billion Facebook users is available on hacker forums.

That’s also the reason why these social medias were down today.
 
Back
Top Bottom