WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Yaah nimeunga pia
Nimeingia Netflix mzigo unasoma
Nikarudi Jf Papo fresh

Ndo nakutana na huu uzi
Na Mimi nimeuona uzi wakati nishaunga bando,tena line zangu zote 2[emoji38]
 
Kama hufaham kuwa mambo ya kuzimana internet especially twitter yalianza kipindi cha Kampeni mwaka jana chini ya serikali ya dikteta Magu basi achana na hii mada endelea na issue zingine.
images (4).jpeg
 
Mitambo imezimwa na kupelekwa chanjo.
Si unajua wakati wa kupokea chanjo utulivu unahitajika.
 
Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake

Mark ameifanya hii mitandao kuwa na sheria moja akizima anazima kote

Ni kama serikali ilivyoiminya mifuko ya jamii ikaifanya kitukimoja mwishowe na sheria zimekuwa moja likitokea la kutokea ni kote kote

Sure[emoji1422]
 
Back
Top Bottom