Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Na Mimi nimeuona uzi wakati nishaunga bando,tena line zangu zote 2[emoji38]Yaah nimeunga pia
Nimeingia Netflix mzigo unasoma
Nikarudi Jf Papo fresh
Ndo nakutana na huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi nimeuona uzi wakati nishaunga bando,tena line zangu zote 2[emoji38]Yaah nimeunga pia
Nimeingia Netflix mzigo unasoma
Nikarudi Jf Papo fresh
Ndo nakutana na huu uzi
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]Kashahiba
Hazime
Nimepata mahafua
Kama hufaham kuwa mambo ya kuzimana internet especially twitter yalianza kipindi cha Kampeni mwaka jana chini ya serikali ya dikteta Magu basi achana na hii mada endelea na issue zingine.
Mark Zuckerberg ni mmiliki wa FB, INSTAGRAM pamoja na WHATSAPPMarc Andre Ter Stegen au Nani?
Post Bora kwangu iliyonichekesha Sana hapa jf daaah matunduizisiku nikisikia huyu dogo anataka kununua gugo, napeleka zuio mahakamani. Asije atafanya watu tuonekane vilaza kwa kushindwa kugugo
wabongo tunajua kuteseka aisee, hii ni global ati... sio zile za MaguNahangaika na VPN huku mie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ndio hapo sasa kwa kupenda umbea ndio hutufanya tuhangaikewabongo tunajua kuteseka aisee, hii ni global ati... sio zile za Magu
haaahaaaSi ndio hapo sasa kwa kupenda umbea ndio hutufanya tuhangaike
YesHadi Watts app?
Hili limeniuma sana yaani nimejiunga tena kifurushi kumbe ni system zao tu zipo chini yaani nimewatukana tigo buree leoOoh nilijua nimeishiwa salio nimeweka naona tena mambo ni yale yale kumbe ni ttz lao
Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake
Mark ameifanya hii mitandao kuwa na sheria moja akizima anazima kote
Ni kama serikali ilivyoiminya mifuko ya jamii ikaifanya kitukimoja mwishowe na sheria zimekuwa moja likitokea la kutokea ni kote kote