WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Wapendwa kwangu sipati mtandao wa Facebook pamoja na Insta ila mingine yote inapatikana, nauliza je ni kwangu tu au pia kuna wengine pia wamepata tatizo kama la kwangu, au inabidi tuanze kutumia VPN
 
Nimefurahi sna angesima kabsa week nzima akili ziwakae watu mnk imekuwa kichochoro Cha umalaya mtandao huu Ni uraibu wa ngono tu unafanywa uko..kwenda izimwe kbsa
 
VODACOM Tunakutaarifu kuwepo kwa tatizo la upatikanaji wa mitandao ya kijamii ya Whatsapp, Facebook na Instagram duniani kote. Tutakutaarifu huduma hizo zikirejea.
 
Wapendwa kwangu sipati mtandao wa Facebook pamoja na Insta ila mingine yote inapatikana, nauliza je ni kwangu tu au pia kuna wengine pia wamepata tatizo kama la kwangu, au inabidi tuanze kutumia VPN
Duniani kote
Screenshot_20211004-225718.jpg
 
Nimefurahi sna angesima kabsa week nzima akili ziwakae watu mnk imekuwa kichochoro Cha umalaya mtandao huu Ni uraibu wa ngono tu unafanywa uko..kwenda izimwe kbsa
Acha uzwazwa wewe unawaza ngono tu hujui hii mitandao ni biashara na watu tunapoteza pesa nyingi kwa kukosa hii huduma.

Kama wewe hujui kazi ya hii mitandao au hujui kuitumia kwa kuzalisha pesa ni bora ukae kimya ngono haipo tu kwenye mitandao hata bila mitandao watu wanafanya tu ngono kwa fujo, hata simu basi zifungwe.
 
Acha uzwazwa wewe unawaza ngono tu hujui hii mitandao ni biashara na watu tunapoteza pesa nyingi kwa kukosa hii huduma,kama wewe hujui kazi ya hii mitandao au hujui kuitumia kwa kuzalisha pesa ni bora ukae kimya ngono haipo tu kwenye mitandao hata bila mitandao watu wanafanya tu ngono kwa fujo, hata simu basi zifungwe.
Point
 
Kuna mtu au kikundi anakuwa tajiri muda sio mrefu eti wasap haifanyikazi, Facebook hollaah, Instagram mwee.

Vijana wa it bongo amken dunia imeisha hii
 
Back
Top Bottom