Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefuta pilau nikijua storage
Duniani kote haipatikaniWapendwa kwangu sipati mtandao wa Facebook pamoja na Insta ila mingine yote inapatikana, nauliza je ni kwangu tu au pia kuna wengine pia wamepata tatizo kama la kwangu, au inabidi tuanze kutumia VPN
Duniani koteWapendwa kwangu sipati mtandao wa Facebook pamoja na Insta ila mingine yote inapatikana, nauliza je ni kwangu tu au pia kuna wengine pia wamepata tatizo kama la kwangu, au inabidi tuanze kutumia VPN
Hii balaa ,ndio shida ya kumtegemea mtu mmoja, sasa nimeanza kuelewa kwanini Trump anapiga kelele kuhusu hawa wamiliki wa hii mitandao,she...zi zaoYes. Balaa tupu. Marc sijui kapatwa na nini?
Telegram mambo safiDuniani kote haipatikani
Hata hiyo VPN now haifanyi kazi kaeni tu kwa kutulia[emoji1787][emoji1787]Sipati FB wala Insta inabidi tuanze kuikumbuka VPN
Intaneti ipo sema hiyo mitandai ndio haipatikani kwa sasaUlimwengu unaelekea wapi.
Ulimwengu bila Internet utakuwa vipi.?
Acha uzwazwa wewe unawaza ngono tu hujui hii mitandao ni biashara na watu tunapoteza pesa nyingi kwa kukosa hii huduma.Nimefurahi sna angesima kabsa week nzima akili ziwakae watu mnk imekuwa kichochoro Cha umalaya mtandao huu Ni uraibu wa ngono tu unafanywa uko..kwenda izimwe kbsa
[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heeeem ngooooja kwanza.
Unasemaaa?
PointAcha uzwazwa wewe unawaza ngono tu hujui hii mitandao ni biashara na watu tunapoteza pesa nyingi kwa kukosa hii huduma,kama wewe hujui kazi ya hii mitandao au hujui kuitumia kwa kuzalisha pesa ni bora ukae kimya ngono haipo tu kwenye mitandao hata bila mitandao watu wanafanya tu ngono kwa fujo, hata simu basi zifungwe.