Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kiherehere ni nini ?Acha kiherehere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiherehere ni nini ?Acha kiherehere.
uliposema kiherehere nikajua labda mwenzetu uko hewani , kumbe wewe ndio mwenye kiherehere chenyewe !Ndo umenifungua macho arifu.
Hivi Mwanya kwa kidhungu inaitwaje Kokutona?[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya mmbo ya kuwa controlled na watu wa IT ndio yanawatisha watu wasichanje chanjo hizi mpya za akina BGs[emoji1787] kwa hiyo Kama Ni New world order ndio wafunge FB, Insta na WhatsApp au.. anyway na hakika kutakuwa na Sababu..na hiyo Sababu wanaijua wenyewe wahusika
Alisemaje KiyosakiNaona ya Robert Kiyosaki yanatimia
View attachment 1963074
Ha ha .Waweke sheria mpaka uchanje ndio wanakufungulia hiyo mitandao [emoji3]
Tatizo wengine tumewekeza mifumo ya kibiashara huko, itakuwaje sasaNingependa hii haliniende kama 7 days hivi..
Yaaani hospital zotafurika balaaaHa ha .
Alisemaje Kiyosaki