WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

[emoji1787] kwa hiyo Kama Ni New world order ndio wafunge FB, Insta na WhatsApp au.. anyway na hakika kutakuwa na Sababu..na hiyo Sababu wanaijua wenyewe wahusika
Haya mmbo ya kuwa controlled na watu wa IT ndio yanawatisha watu wasichanje chanjo hizi mpya za akina BGs
 
Inasemekana Facebook, Instagram na WhatsApp zimekuwa hacked na watu wasiojulikana hadi Mda huu Wafanyakazi wa Mitandao hiyo Wameshindwa kutatua tatizo hilo,

Duniani Kuna ma professional hackers hadi wameweza kuhack Apps zote kwa wakati mmoja hadi mdaa huu Mmiliki na wafanyakazi wameshindwa kutatua tatizo,
Inasemekana Kama Kuna wafanyakazi watabainika kuhusika na Kudukua Hizo Apps Watafukuzwa kazi

Kushutdown kwa Apps linaweza kuchukua Mda hadi kupatikana Solution

Poleni sana watumiaji wa mitandao kujitangaza na kuuza bidhaa zenu


[emoji1621]Nilikosea instead of Hack nikaandika Huck
 
Dogo kaisimamisha dunia watu wake wa karibu wamenitonya yakua anataka kufuta account zote watu waanze upya haiwezekani mimi INSTAGRAM yangu haifiki hata followers 500 halfu Kuna jitu Lina followes 100milion
 
Back
Top Bottom