kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Faragha mkuu,ukanjanja ni hulka yamtu binafsigb whatsapp,hata ukitaka mtu asione kama umeangali status yake,au asione unatype nk.
ila zote ni dalili za ukanjanja.
View attachment 2019291
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faragha mkuu,ukanjanja ni hulka yamtu binafsigb whatsapp,hata ukitaka mtu asione kama umeangali status yake,au asione unatype nk.
ila zote ni dalili za ukanjanja.
View attachment 2019291
natamani Jf nao waweke sehemu ya dislike ningeku kudislike ,umeandika vizuri lakini kweli hujui Mana ya faragha kweli
Ni faragha ndio maana ipo under privacy setting za whatsappKu hide last seen na read receipt ndiyo faragha? Kama privacy ndiyo hiyo basi inatakiwa usijoin kabisa whatsapp!
Kama hutaki kuonekana chat na sms za kawaida achana na wasapKuna mwingine hataki tu kuonekana
Kuna watu wakikuona wanaanza maneno muda wote uko online blabla kibao Basi unaamua kuficha muda wa mwisho kuonekanaKwani kuna tatizo akionwa?
Kweli kabisa hii option ni nzuri kwa wanao hitaji kutunza baadhi ya vitu vyao.Nadhani watu wako tofauti,kuna wengine hutaka privacy sana,pia kuna mazoea.
Ni sawa na kukuta mtu mzima anamiliki smartphone lakini hana picha yake hata moja au hana pps za kushare maisha yake kama instagram,snapchat.kuhusu mazoea ni ukizoea apps zisizo onesha last seen au mtu yuko online unaweza pia set hata apps zingine zisioneshe.
Mimi binafsi ninapenda privacy sana hususan maisha yangu binafsi na pia nimezoea wechat (app maarufu China,huwezi mkosa mchina mwenye smartphone bila hii app) hii app haioneshi mtu kama yupo online,last seen ,au kama mtu kasoma text yako.Hii ni kulinda privacy ya wateja wao,so mimi pia hata whatsapp nimetoa last seen,pia hata sijawahi badilisha picha ya whatsapp zaidi ya miaka saba😆Nina cartoon yangu ninayoipends ndio ipo hapo miaka yote,hata about (before status) yangu whatsapp almost 7 years sijawahi ibadilisha.
Kwangu haina uhusiano wowote na utapeli wala chochote,ni vile napenda tu.Mtu kama hataki kusoma text yako au kukureply hata ungeona last seen yake haisaidii.Watu wanatakiwa kuishi maisha wanayoyafurahia na sio kuishi sababu ya kuogopa watu wengine. Wanaoweka last seen on wanafurahia maisha hayo so haitakiwi kuweka pressure kwa watu wasiopenda last seen kuwa on.
Mimi binafsi naamini kila mtu anapenda kuwa vile kulingana na mazoea au sababu zake binafsi lakini sio kila anaye ficha last seen ni tapeli au ana nia mbaya,kuna wasio ficha pia ni matapeli.So bora kuheshimu aina ya maisha ya kila mtu kwa vile alivochagua kuishi bila kuwekeana tuhuma kwa style mtu aliyochagua.
Ila hii kidogo ipo vizuri maana inasaidia kujua kama ujumbe umefika au umesomwa.Mie sifich staki unafiki nataka uone ka nakupotezea live nikisoma meseji yakonuone nimesoma na sijakujibu....
Uoke nilikua online sa hv na nikakushaushia hao waficha last seen wanafiki
Magumashi ya kwenye ndoa yake na wewe unataka kufanya naye biashara, wapi na wapi?Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Hawana uhuru na maisha yao.Kuna wengine hawapendi kuonekana kama wapo kwa hewa
Kama mimiKuna mwingine hataki tu kuonekana
Tell dem madameeeSi kweli hyo ni beliefs zako tu sina gumashi lolote ila nimeweka huu mwaka wa saba
lini watakuwa tayari?View attachment 2019065
WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts.
Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote.
Mabadiliko mapya ya WhatsApp yatawezesha watu kuzuia baadhi ya contacts zisionekane kwa baadhi ya contacts.
Wewe hujui ukiishi nae utakuja kuanzisha uzi hapa. Ulishamuuliza kwa nini anaificha? Unless awe aliiset bila kujua ikabaki. Narudia tena kuna mtu anawasiliana nae na ni mme wa mtu anbae hawawasiliani mara kwa mara.my GF anatumia hide last seen ila nmeshamtrack sana sijapata cha maana...
Me nimeacha kuhukumu
Ndio uelewe pia ninavokuambia nishatrack sana simu yake...Wewe hujui ukiishi nae utakuja kuanzisha uzi hapa. Ulishamuuliza kwa nini anaificha? Unless awe aliiset bila kujua ikabaki. Narudia tena kuna mtu anawasiliana nae na ni mme wa mtu anbae hawawasiliani mara kwa mara.