WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

Mie sifich staki unafiki nataka uone ka nakupotezea live nikisoma meseji yakonuone nimesoma na sijakujibu....


Uoke nilikua online sa hv na nikakushaushia hao waficha last seen wanafiki
 
Nadhani watu wako tofauti,kuna wengine hutaka privacy sana,pia kuna mazoea.
Ni sawa na kukuta mtu mzima anamiliki smartphone lakini hana picha yake hata moja au hana pps za kushare maisha yake kama instagram,snapchat.kuhusu mazoea ni ukizoea apps zisizo onesha last seen au mtu yuko online unaweza pia set hata apps zingine zisioneshe.

Mimi binafsi ninapenda privacy sana hususan maisha yangu binafsi na pia nimezoea wechat (app maarufu China,huwezi mkosa mchina mwenye smartphone bila hii app) hii app haioneshi mtu kama yupo online,last seen ,au kama mtu kasoma text yako.Hii ni kulinda privacy ya wateja wao,so mimi pia hata whatsapp nimetoa last seen,pia hata sijawahi badilisha picha ya whatsapp zaidi ya miaka saba😆Nina cartoon yangu ninayoipends ndio ipo hapo miaka yote,hata about (before status) yangu whatsapp almost 7 years sijawahi ibadilisha.

Kwangu haina uhusiano wowote na utapeli wala chochote,ni vile napenda tu.Mtu kama hataki kusoma text yako au kukureply hata ungeona last seen yake haisaidii.Watu wanatakiwa kuishi maisha wanayoyafurahia na sio kuishi sababu ya kuogopa watu wengine. Wanaoweka last seen on wanafurahia maisha hayo so haitakiwi kuweka pressure kwa watu wasiopenda last seen kuwa on.

Mimi binafsi naamini kila mtu anapenda kuwa vile kulingana na mazoea au sababu zake binafsi lakini sio kila anaye ficha last seen ni tapeli au ana nia mbaya,kuna wasio ficha pia ni matapeli.So bora kuheshimu aina ya maisha ya kila mtu kwa vile alivochagua kuishi bila kuwekeana tuhuma kwa style mtu aliyochagua.
Kweli kabisa hii option ni nzuri kwa wanao hitaji kutunza baadhi ya vitu vyao.
 
Mie sifich staki unafiki nataka uone ka nakupotezea live nikisoma meseji yakonuone nimesoma na sijakujibu....


Uoke nilikua online sa hv na nikakushaushia hao waficha last seen wanafiki
Ila hii kidogo ipo vizuri maana inasaidia kujua kama ujumbe umefika au umesomwa.
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Magumashi ya kwenye ndoa yake na wewe unataka kufanya naye biashara, wapi na wapi?
 
Hivi mtu unaficha last seen/ read receipt kwa ajili gani?
Binafsi sionagi sababu ya kuficha

Sent from
 
Kwa utafiti niliofanya toka 2016 hadi 2021 kwa watumiaji wa WhatsApp wenye kuficha READ RECEIPTS ni kama ifuatavyo;-

– Wengi wao ni watu wanafiki wanaficha read receipts kuhold different perspectives, katika watu na issue tofauti. (Message ikiwa mlengo wake itajibiwa, isipokuwa mlengo wake hio ni haijasomwa).

– Wenye kutokujiamini, kutumia muda mwingi kufuatilia watu kimtandao lakini hataki kufahamika kama anafuatilia! In other hand ni mtu anayeweza kuwa anakubali jambo lakini hataki ku accept au acknowledge.

– Wengi wao ni watu wasiojali faragha, kuficha read reciept ni pamoja na kuhifadhi baadhi ya docs za wahusika ikiwemo profule pics, status na screenshots za conversation. Hawa watu ni viongozi wa Piracy kimtandao wenye the so called (Youtube Downloader, WhatsApp downloader, Intagram and co.

Last seen haina tatizo cause at the end utaona mtu alisoma akajibu au lah! Au mwingine anajibu instantly bila tabu. Kuwa makini na Read Receipts. Ni mtu anaye nyata dirishani, getini au mlangoni kuskiliza na kuondoka vivyo hivyo.
 
Duuh! Kumbe tunaotumia modded WhatsApp tuko mbele sana.. Hizi features nina muda mrefu natumia huwa nashangaa siku za hivi karibuni ndio zinawekwa kwenye Original App. Telegram hii feature ipo muda mrefu sana tu.
 
View attachment 2019065

WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts.

Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote.

Mabadiliko mapya ya WhatsApp yatawezesha watu kuzuia baadhi ya contacts zisionekane kwa baadhi ya contacts.
lini watakuwa tayari?
 
my GF anatumia hide last seen ila nmeshamtrack sana sijapata cha maana...

Me nimeacha kuhukumu
Wewe hujui ukiishi nae utakuja kuanzisha uzi hapa. Ulishamuuliza kwa nini anaificha? Unless awe aliiset bila kujua ikabaki. Narudia tena kuna mtu anawasiliana nae na ni mme wa mtu anbae hawawasiliani mara kwa mara.
 
Wewe hujui ukiishi nae utakuja kuanzisha uzi hapa. Ulishamuuliza kwa nini anaificha? Unless awe aliiset bila kujua ikabaki. Narudia tena kuna mtu anawasiliana nae na ni mme wa mtu anbae hawawasiliani mara kwa mara.
Ndio uelewe pia ninavokuambia nishatrack sana simu yake...

Ukitrack simu ya mtu hata chats ambazo zipo Hidden utaziona.

Nishasikiliza sana simu zake na kusoma text zake ...

Unataka ushahidi gani mwingine?

Kwanini nimuhukumu kwenye vitu ambavyo sivioni?
 
Back
Top Bottom