peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
๐๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐๐ฐ๐๐ง๐๐ง๐๐ก๐ข ๐๐ข๐ ๐ข๐ญ๐๐ฅ ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ ๐ก๐๐๐๐ซ๐ข ๐ณ๐ข๐ฌ๐ข๐ณ๐จ ๐ณ๐ข๐ง๐ ๐๐ญ๐ข๐ ๐ค๐๐ง๐ฎ๐ง๐ข ๐ณ๐ ๐ฎ๐๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ก๐จ๐ฃ๐ข ๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ณ๐จ๐ญ๐ ๐ณ๐ข๐ง๐๐ณ๐จ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ก๐๐๐๐ซ๐ข, ๐๐ง๐๐ฉ๐๐ฐ๐ ๐๐๐ก๐๐๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฎ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ก๐๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ฅ๐ ๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐ ๐๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐๐ก๐ ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ 90 ๐ค๐ฎ๐๐ง๐ณ๐ข๐ ๐ฅ๐๐จ 27/3/2025 - 26/6/2025, ๐ก๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ฒ๐๐ฒ๐จ๐ญ๐ ๐๐ญ๐๐ค๐๐ฒ๐ ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ ๐ก๐๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐๐ง๐๐ก๐ข ๐๐ข๐ ๐ข๐ญ๐๐ฅ ๐๐ญ๐๐ญ๐จ๐ฅ๐๐ฐ๐ ๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ.
Habari za Muda huu, naomba kutoa ufafanuzi juu ya adhabu iliyotolewa juu ya Mwananchi digital kupitia habari yenye kichwa kisemacho " CCM Moshi Mjini kwa moto , ni Mtifuano kwa kwenda mbele" kupitia waandishi wake wa mwananchi digital kilimanjaro, iliyochapishwa katika ukurasa wa Mwananchi digital tarehe 27.3.2025 saa 2 usiku,
Mwandishi wa habari hiyo amekosa ueledi au amefanya makusudi kuandika habari pasipo kusikiliza na kuhoji pande zote zinazohusika katika habari hiyo.
Maudhui ya habari hiyo yalikuwa ni juu ya mbunge, chama na watia nia wengine wa nafasi za ubunge.
Katika habari hiyo mwandishi amesema amehoji viongozi wa CCM kwa upande wa chama, Priscus Tarimo kwa upande wa Mbunge lakini hakuna mahali amewahoji watia nia hata mmoja mbali na kuwataja karibia kila aya ya habari hiyo huku akiwaelezea katika kiwango ambacho kila mwananchi anaweza kumtambua anayesemwa nani.
Aidha katika habari hiyo yametajwa magroup ya whatsapp ambayo mwandishi amedai ni ya hao watia nia na hutumika kumtukana Mbunge lakini hakuna mahali ameonekana kuwahoji viongozi wa magroup.
Kwa uchache naomba niseme, Admin amefanya kazi yake vizuri na adhabu iliyotolewa ndio msimamo wa group.
Nitoe rai kwa waandishi kuzingatia taaluma yao wakati wa kutoa habari sambamba na kujiepusha kutumika kisiasa kama hawa waandishi wa mwananchi digital Kilimanjaro.