Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Ujinga mtupu hivi nyie watu mnaomsifia huyo mnafiki mna memory span ya muda gani. Surely tofauti yetu kubwa binadamu na wanyama wengine ni uwezo wa kutunza kumbukumbu kwa muda mrefu na kuwaachia vizazi maarifa.

Well kwa walio sahau


Mipango ya Magufuli kwenye sukari ilikuwa ni kutaka wafanyabiashara wa ndani wachukue fursa alilisema hilo mara kadhaa.

Na mmoja wa watu aliyemshawishi aanzishe kiwanda cha sukari ni Bakhresa, alipokwenda kutembelea kiwanda chake cha matunda na eneo la kulima miwa akampa Bagamoyo kwenye mkutano wa wazi.
 
Hakuna hiyo inatosha kabisaaa!!! Asante sana whistleblower.

Kama wako serious na ufisadi basi vyombo husika viingie kazini. Acheni kupotezea kwa mada nzuri na serious kama hii eti kisa ushahidi
 
Kwahiyo kila mwenyejina la kislam ukasema ni muislam balozi seif Ali Iddi yule pale yy na sheni pamoja na kikwete wamewaweka mashekhe wa uamsho ndani
 

Kiwanda cha Bakhresa leo kimifikia hatua za mwisho.

Mbona hilo ajalisema huyo cha uongo, halafu zama za Magufuli viwanda vinavyotumia sukari ndio vilikuwa vinapewa vibali vya kujiagizia deficits (hakuna middleman).

Sukari ya sokoni kwa walaji wakawaida waagizaji ni body ya sukari.

Yaani mtu anaandika ujinga mwanzo, mwisho and he has a gullible audience to shallow his nonsense.
 
huyu Kassim anatakiwa ajiuzulu kisha achunguzwe maana kwenye issue ya korosho pia katajwa.
 
Hili Taifa limejaa Mafisadi Madiketa uchwara na washabiki wao.

Allah tunusuru tuondolee na huyo Polepole.
 
Naona mnamuandama sana Waziri Mkuu. Leta uthibitisho. Usiandike waraka mreefu bila barua hata moja. Ni uhuni tu na uchonganishi.

By tye Way, mmemuandaa nani kuwa PM. Mimi simuoni zaidi ya KMM ndani ya wabunge wa kuchaguliwa wa CCM. Also, historia inaonyesha mara zote Rais alipobadilisha PM nchi hii, serikali ilikuwa dhaifu inayonuka rushwa kuliko kawaida.
 
Naomba nikuulize swali, ni kwanini viongozi wetu yaani R,WM na W-kilimo walitoa matamshi kinzani hadharani kuhusu sukari siku chache tu zilizopita?
 
Kwamba PM akakupa kimemo chenye majina yake 13?!! Au nimekusoma vibaya mkuu!
 
Kwamba PM akakupa kimemo chenye majina yake 13?!! Au nimekusoma vibaya mkuu!
Mama awe makini na hawa wahuni. Wanataka kuiangusha serikali ya mama. Tuhuma juu ya Waziri Mkuu zintakiwa kuwa za uhakika na zenye uthibitisho wa nyaraka, video, picha au hata audio.
La sivyo ni jaribio la kutaka kuiangusha serikali.
 
Tulimpigia Mama kelele aanze na safu yake akaona watu wana mfundisha kazi. Akabeba uchafu wa mwenda kuzimu.
Samia mwenyewe ni "uchafu wa mwendakuzimu".

Au umesahau walipomtoa samia? Unafikiri amejiweka hapo?

Wahuni kwa mbinu za kugawanya watu hamjambo.

Samia ni zao la Magufuli kama alivyo majaliwa na wenzake. Huwezi kumtofautia Samia na Majaliwa.
 
Nadhani awamu hii hamjui maana na matumizi ya neno nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…