Pumbaff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kuamini lockdown ni ya milele.
 
Mh Mtukufu KUB, atangaza amri ya watoto wake kususia Bunge wakajifungie majumbani kwao, kulinda afya zao kwa siku 14, na baada ya hapo warudi Bungeni!!!! Je, walioachwa wakiendelea na Bunge wameudhibiti ugonjwa? Akili za kitoto hizo.
Umewahi kusoma epidemiology of diseases, particularly infectious diseases?
 
Siku hizi hata WHO wanashiriki kwenye udaku!Kweli dunia imeisha.Hivi na wewe uliyeleta taarifa hii umejiuliza wamejuaje,au umebeba tu taarifa nzima nzima?
 
Magufuli is hitting headlines world wide,watch this?Ziko nyingi mno lakini hii zinatosha.Asante JPM umeiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia.
 

Attachments

  • VID-20200514-WA0000.mp4
    4.9 MB
  • IMG-20200515-WA0020.jpg
    16.7 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0015.jpg
    12.7 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0016.jpg
    13.8 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0017.jpg
    11.8 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0018.jpg
    11.5 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0019.jpg
    12.2 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0010.jpg
    8.6 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0011.jpg
    58.3 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0008.jpg
    9.7 KB · Views: 1
  • IMG-20200515-WA0013.jpg
    19.3 KB · Views: 1
Umepitia hata hiyo link?
Ina shida gani hiyo link,ni uchama,uzandiki na wivu tu,hamna lolote.Kila jambo jema mnalipaka matope,ifike mahali muone aibu.Ndio maana watu wenye akili wanawadharau.
 
Kwani mwamba ana nyemelezi? Si alikuwa anapigaga mpaka pushapu na kuruka kutoka juu ya gari enzi zile?
Rais wa TWITA ndio amesema ana nyemelezi na pia DADA wa TAIFA alisema ana KIBETRI kwenye Moyo.
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kuamini lockdown ni ya milele.
Lockdown inatakiwa iwe ya muda gn lamda hebu tuekeweshe. Coz km ni ya mwezi au miezi miwili wote walioaply hiyo njia wamefeli. Au lamda utusaidie ni nchi gan iliyofanikiwa kuutokomeza korona kwa lockdown
 
Mkuu huu ni udaku na fearmongering on the part of the WHO of the highest order.It is unprecedented. Shirika lililopewa jukumu la kulinda afya za watu linachangia kuharibu afya zao kwa kuwaletea hofu,it should go.Hivi niamini kwamba WHO haifahamu athari za hofu kweli,no ni makusudi,tena yale yale ya the Deep State a.k.a.NWO.Statements kama hii>The World Health Organization’s head of health emergencies said the coronavirus causing Covid-19 could become a long-term threat to be managed, not one that can be eradicated< ni luciferian na statement ambayo inaleta hofu kwa watu,na kiukweli haipaswi kutoka WHO.Kwanza uhakika huo wameupata wapi?
 
hivi virus wanasema vimetengenezwa kwenye maabara
hivi haiwezekani nchi husika kuwajibishwa kwa hili?
mbona nchi nyingine zenye nukes zinapigwa vita?
hizi biological weapons ni ruksa kutengeneza sio
 
Shirika la afya duniani limekiri kupitia mkurugenzi wake mtendaji ( Executive director) kuwa ugonjwa huu wa corona haujulikana utaisha lini hivyo ni muhimu kujifunza kuishi nao

Rais Magufuli aliitoa kauli hii mapema kabisa akilihutubia Taifa la Tanzania kuwa tuondoe hofu na huu ugonjwa tutaishi nao kama magonjwa mengine

Tunampongeza kwa hilo

Hata hili la kufunga mji kuna siku tutakuja kumkubali hapa JF

Tupishane kwa hoja na sio kwa vyama

Video hii hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Hata betting inalipa pia@Unforgetable

[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
 
Akitoka MBOCHI akarudi kuendelea kukagua miradi kama kawa hapo ndipo hio kauli ya WHO itakua imeeleweka,ila bila hivyo bado hakijaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…