Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Kwani mwamba ana nyemelezi? Si alikuwa anapigaga mpaka pushapu na kuruka kutoka juu ya gari enzi zile?Mzee baba inabidi akae TOCHA tu maana KORONA hataki NYEMELEZI yeyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mwamba ana nyemelezi? Si alikuwa anapigaga mpaka pushapu na kuruka kutoka juu ya gari enzi zile?Mzee baba inabidi akae TOCHA tu maana KORONA hataki NYEMELEZI yeyote.
Mbowe na wabunge wake waliojiweka karantini.Hiyo aya ya mwisho ya bandiko kama umeielewa vizuri, hebu tuambie ni nani huyo anaambiwa atoke mafichoni.?
Hiyo chanjo sijui kama warundi watakuja kupewa.Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani
Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza kuondoka
Amesema chanjo inaweza kupunguza madhara ya #CoronaVirus, lakini chanjo inapaswa kuwepo na kuwa na ufanisi wa hali ya juu na kupatikana kwa kila mtu duniani
======
The new coronavirus may never go away and may just join the mix of viruses that kill people around the world every year, Dr. Mike Ryan, executive director of the World Health Organization health emergencies program, said Wednesday.
"This virus just may become another endemic virus in our communities and this virus may never go away. HIV hasn’t gone away," Ryan said.
"I’m not comparing the two diseases but I think it is important that we’re realistic. I don’t think anyone can predict when or if this disease will disappear," Ryan added.
With a vaccine, "we may have a shot at eliminating this virus but that vaccine will have to be available, it will have to be highly effective, it will have to be made available to everyone and we’ll have to use it," Ryan said. "This disease may settle into a long-term problem or it may not be."
Yet the future of coronavirus does not have to be all doom and gloom, according to WHO infectious disease epidemiologist Dr. Maria Van Kerkhove.
"The trajectory of this outbreak is in our hands," Van Kerkhove said during Wednesday's briefing.
"The global community has come together to work in solidarity," Van Kerkhove said. "We have seen countries bring this virus under control. We have seen countries use public health measures."
WHO director-general Tedros Adhanom Ghebreyesus echoed Van Kerkhove's sentiments on Wednesday and added, "We should all contribute to stop this pandemic."
Unamaanisha Chadema au?Kwa hiyo watakaa lockdown mpaka dunia iishe?
[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo chanjo sijui kama warundi watakuja kupewa.
Mfumo wa magufuli mtauelewa tu! Hii kitu tutaishinayo kama watu wanavyoishi na magonjwa mengine na yanaambukizika kirahisi mfano homa ya ini.
Leo nimemsikiliza mweshimiwa MAKONDA nimependa uchapaji kazi wake, TANZANIA namini tunaenda kumaliza awo mabeberu tuwapuze tule vuzuri na mazoezi huku tukichukua hatua zinazotolewa na wizara ya afya .
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Lockdown haikuwekwa mpaka virus waishe. Lockdown iliwekwa ili kupunguza watu wengi wasiugue kwa wakati mmoja na hospital zikaelemewa. Na lililo muhimu ni kuwa lockdown imewekwa ili wataalam wapate muda wa kuwa-study vizuri virus na kutengeneza chanjo au tiba au vyote kwa pamoja.Kwa hiyo watakaa lockdown mpaka dunia iishe?
hahaaaUnamaanisha Chadema au?
Ahahahahah!hahaaa
Anatuona sie ni maboya ka yeyeMbona hapo TanZania haijatajwa? Au unatuonaje yaani?
Pumbavu
Yafunge madomo yao sasa,this is a slap in the face.
Umepitia hata hiyo link?