Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Na isikujeUtabiri wa gazeti moja Italy miaka hiyooo
View attachment 1453607
Sent from my iPhone using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na isikujeUtabiri wa gazeti moja Italy miaka hiyooo
View attachment 1453607
Sent from my iPhone using Tapatalk
Na party tushafanya😂Corona imeisha Baba
Tuache uzushi corona imeisha
Mwezi mmoja ujao tutaelewana lugha ngoja kwanzaCorona imeisha Baba
Unawalaumu mabeberu kwa corona? Tunapaswa kuwalaumu wale wasiochukulia ugonjwa huu seriously kama serikali yetu. Hao mabeberu ndio wanaofanya utafiti wa tiba na kinga na punde tu utaanza kununua dawa na ujuzi wao.Mabibi na mabwana ninaandika uzi huu nikitambua uwepo wa maboresho maridhawa humu JF kwa ajili yetu sote.
Kongole kwenu nyote mnaotambua umuhimu wa uhuru wa mawazo, haki ya kupata habari, haki ya kutafuta habari na yote ya aina hiyo.
Moja kwa moja kwenye mada.
Taarifa mpya kuhusiana na Corona zinaonyesha ndani ya saa 24 zilizopita hali duniani kuwa bado si hali:
USA peke yake watu 980 wamefariki dunia, Rwanda mtu mmoja amefariki, Afrika kusini hali nako ni kama ilivyo hapa:
COVID-19 Update: S.Africa’s Cases Surpass 30,000 as Rwanda reports first death
Si Kenya si Uganda hali bado tete:
Uganda: COVID-19 - Uganda's Cases Soar to 413 As 84 People Test Positive
Hiki kidole kinachoendelea kuelekezewa nchi za kigeni kwa uwezo wake mola apishilie mbali, isije kuwa sisi.
Mabeberu wote kote waliko washindwe na walegee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na party tushafanya[emoji23]
Tuliambiwa by second week of march 2020 Tanzania ingelia poo!! Leo ni siku ya Mwisho ya mwezi may. Corona si kama ukimwi useme ili dalili zianze kujitokeza inachukua hata miaka 20. Corona ni kati ya siku 2-14. Corona ipo lakini si kwa kiwango hicho. Mwenyezi Mungu amesikia kilimo chetu.Mwezi mmoja ujao tutaelewana lugha ngoja kwanza
Kwani kuna mtu alisema hayupo ,yupo ila hana madhara
Msemani wa serikali ametia maekezo na miongozo iliyotangulia kuhusu michezo kurejea wakati huu....lakini kweli kuruhusu mashabiki tunaharakisha nini jamani...nyomi ile ya taifa na viwanja vingine waanze kwenda kucheki mechi realy?Mabibi na mabwana ninaandika uzi huu nikitambua uwepo wa maboresho maridhawa humu JF kwa ajili yetu sote.