WHO: Corona Virus inaweza isiondoke
Mabibi na mabwana ninaandika uzi huu nikitambua uwepo wa maboresho maridhawa humu JF kwa ajili yetu sote.

Kongole kwenu nyote mnaotambua umuhimu wa uhuru wa mawazo, haki ya kupata habari, haki ya kutafuta habari na yote ya aina hiyo.

Moja kwa moja kwenye mada.

Taarifa mpya kuhusiana na Corona zinaonyesha ndani ya saa 24 zilizopita hali duniani kuwa bado si hali:

USA peke yake watu 980 wamefariki dunia, Rwanda mtu mmoja amefariki, Afrika kusini hali nako ni kama ilivyo hapa:

COVID-19 Update: S.Africa’s Cases Surpass 30,000 as Rwanda reports first death

Si Kenya si Uganda hali bado tete:

Uganda: COVID-19 - Uganda's Cases Soar to 413 As 84 People Test Positive

Hiki kidole kinachoendelea kuelekezewa nchi za kigeni kwa uwezo wake mola apishilie mbali, isije kuwa sisi.

Mabeberu wote kote waliko washindwe na walegee!
 
Tulia wewe.. ni tz pekee tumeweza kuikemea korona na ikaisha
 
Unawalaumu mabeberu kwa corona? Tunapaswa kuwalaumu wale wasiochukulia ugonjwa huu seriously kama serikali yetu. Hao mabeberu ndio wanaofanya utafiti wa tiba na kinga na punde tu utaanza kununua dawa na ujuzi wao.
 
Huyo mdudu hana nguvu...positive cases zisikuumuze
 
Mwezi mmoja ujao tutaelewana lugha ngoja kwanza
Tuliambiwa by second week of march 2020 Tanzania ingelia poo!! Leo ni siku ya Mwisho ya mwezi may. Corona si kama ukimwi useme ili dalili zianze kujitokeza inachukua hata miaka 20. Corona ni kati ya siku 2-14. Corona ipo lakini si kwa kiwango hicho. Mwenyezi Mungu amesikia kilimo chetu.
 
Kwani kuna mtu alisema hayupo ,yupo ila hana madhara

Huyu alipo hajifichi, kwani as the rule of thumb:

1. around 2% ya walioathirika wote huugua kufikia kuwa na hali mbaya kabisa.
2. 98% ya waathirika wote hali zao hazifiki kubaya.
3. around 5 - 10% ya waathirika wote hupoteza maisha kwa ugonjwa huu.

ukiona tofauti na hapo ujue atakuwa hayupo kabisa, vinginevyo utata kwenye utambuzi au ni takwimu magumashi tu.

Marekani yenye states 52, kwa wastani kwa jana watakuwa wamekufa watu 18 katika kila state. State moja ni kama Tanzania nzima.

Tanzania yenye takribani mikoa 30 si ajabu kupoteza watu 18 kwa ujumla kwa siku pasipo na kufahamu.

Kimsingi inawezekana kuwa hali yetu hata sasa kuwa labda hatuna tofauti na huyu beberu.
 
Mabibi na mabwana ninaandika uzi huu nikitambua uwepo wa maboresho maridhawa humu JF kwa ajili yetu sote.

Kongole kwenu nyote mnaotambua umuhimu wa uhuru wa mawazo, haki ya kupata habari, haki ya kutafuta habari na yote ya aina hiyo.

Moja kwa moja kwenye mada.

Taarifa mpya kuhusiana na Corona zinaonyesha ndani ya saa 24 zilizopita hali duniani kuwa bado si hali:

USA peke yake watu 980 wamefariki dunia, Rwanda mtu mmoja amefariki, Afrika kusini hali nako ni kama ilivyo hapa:

COVID-19 Update: S.Africa’s Cases Surpass 30,000 as Rwanda reports first death

Si Kenya si Uganda hali bado tete:

Uganda: COVID-19 - Uganda's Cases Soar to 413 As 84 People Test Positive

Hiki kidole kinachoendelea kuelekezewa nchi za kigeni kwa uwezo wake mola apishilie mbali, isije kuwa sisi.

Mabeberu wote kote waliko washindwe na walegee!
Msemani wa serikali ametia maekezo na miongozo iliyotangulia kuhusu michezo kurejea wakati huu....lakini kweli kuruhusu mashabiki tunaharakisha nini jamani...nyomi ile ya taifa na viwanja vingine waanze kwenda kucheki mechi realy?

Ushauri mmepokea kweli lakini mazingira haya yatatusaidia kumaliza tatizo kwa haraka? Watala wa afya wanasema social distance sis tunaruhusu waende viwanjani?

Serikali yetu liangalieni hili bado ni mapema sana...kwa mechi zilizobaki wangemalizia tu bila mashabiki na kuweka kituo kimoja...Neema ya Mungu ni kubwa kwetu sana lakini tusiitumie vibaya...ni mtazamo tu
 
Corona bado ipo na Kenya inefikwa watu zaidi ya elifu 6. Mpaka hapo chanjo ipatikane washauri wazee na wazazi hasa wenye zaidi ya miaka 60 kuwa makini.

Siasa zipo na ushabiki upo lakini kwa wapendwa wako toa ushauri badala ya kufuata mikumbo ya kisiasa kwani baadae utajuta ukijua ukweli
 
Back
Top Bottom