WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

 

Attachments

  • IMG_20210129_093224.jpg
    103.1 KB · Views: 1
Hivi huyu amesoma sayansi ya dunia ipi na kwa kiwango gani?
Mimi namshangaa Sana, kupingana na alichokisomea!!
 
Rubbish...why not come up with your own vaccines and medications badala ya kulia lia dhidi ya wazungu?
 
Hivi magu kweli wakuuliza maswali haya!!!!
Na watu wanamuunga mkono!
 
Hii chanjo ilishaanza kufanyiwa majaribio TZ na ilifanya vizuri sijui iliishia wapi.
 

Please refer to my post #293 in the thread below

 
Ushasema tropical diseases. Maana hiyo ni magonjwa yakwenu, wazungu hayawahusu kiviiile. Tengenezeni chanjo wenyewe kama mnaweza mmekuwa kama mitoto mnalilia wazungu watumie akili zao kuwaletea chanjo, ni aibu. Mzungu anatengeneza chanjo inayomhusu yeye na maisha yake na maslahi yake na ni haki yake kufanya hivo asa wewe endelea kulia akutengenezee na wewe chanjo ya malaria.
 
Nawe bwege tu! Yaani kwa kuwa wazungu wansema Corona ni hatari nawe unasema ni hatari sana! Angalia asilimia ya wanaokufa ukilinganisha na Malaria. Unaimba wimbo wa wengine.
 
Nawe bwege tu! Yaani kwa kuwa wazungu wansema Corona ni hatari nawe unasema ni hatari sana! Angalia asilimia ya wanaokufa ukilinganisha na Malaria. Unaimba wimbo wa wengine.
We ndo bwege mtozeni.... mbona unaambiwa ukimwi unaua na unakubali? Dawa unaletewa na mzungu wkt kwenu ndo umejaa?? Anakuletea condom ujikinge nayo mbona hukatai ?? Au yenyewe inaua kidogo? Hivyo hvyo kwa chanjo za TB, surua, polio, homa ya manjano... wapi umesikia inawasumbua wazungu sasa hivi? Dawa zote za malaria unaletewa na hao na unakunywa... kama mnajua sana si mtengeneze chanjo zenu. Mpuuzi jazz band!!!

Halafu unawezaje kucompare maambukizi ya malaria na corona???
 
Kama kuna kitu ananifurahisha sana mhe rais basi ni issue hi ya Corona; hu ugonjwa upo na unaua sana but kwa huku kwetu unaua basi sio kiviiile kama huko kwenye hizo nchi za weupe; huko kwa weupe, corona imeua na inaua sana hadi sasa hivi, swali kwanini msukumo wa chanjo unaelekezwa sana Africa ambako hakuna athari kubwa sana kama huko kwao?
Ebora iliua sana Guine na Congo but je WHO walipiga kelele kama sasa? Jibu ni HAPANA, why hawakupiga kelele kama sasa? Ni jibu lipo wazi, ugonjwa umeua weusi na sio weupe, Ebora ingekua imeanzi kwao, kelele nyingi sana zingepigwa but ilianzia Africa, haikufika Ulaya na Marekani na labda China na Japan. Napenda pia msimamo wa rais, rais anao msimamo wake na haangalii wengine wanacho kisema.
 
Mtu mwenye akili timamu leo hawezi kuzungumzia ubeberu! Ukienda mtu unazungumzia chanjo? Mbona hamzungumzii hizi computer, simu, nguo za mitumba na vyakula vinavyotoka kwai??? Ivi lazima watumalize kwa chanjo ya COVID? mbona hatyusemi zile chanjo 9 za watoto zinazotolewa clinic? Zinatengenezwa huko chato?
Tuache umbumbu wa kufikiri kama wajima
 
Wenzako wameshatumia cha madagaska. Waige ufe😂😂😂
 
Unataka WHO wajibu kichaa..??
 

mortality rate ya nchi nyingi afrika ni: 40 yrs , mortality rate nchi karibia zote za wester ni: 78: mengine jazia kichwan kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…