WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!

Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao

Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential
 
Attachments

  • IMG_20210129_093224.jpg
    IMG_20210129_093224.jpg
    103.1 KB · Views: 1
Kuna chanjo inaitwa BCG ambayo ni chanjo ya kifua kikuu na watoto wachanga wote wanachanjwa... au TB na kifua kikuu ni tofauti?
Njia kujikinga na malaria zinajulikana na pia inatiba.
Na kukosa chanjo ya magonjwa mengine haimaanishi basi na hili lisipatiwe solution. Mbona hatuachi kupokea dawa za ukimwi mkasema kwa kua haziponyeshi basi zisitumike? Lakini zinasaidia kufubaza na leo mwenye ukimwi anaeza ishi na asiyenao na asimuambukize.
Kifua kikuu kina tiba na mtu akianza kutumia dawa hakiambukizi tena huwezi fananisha na korona.
So yes chanjo inaweza saidia wale ambao hawana maambukizi kutokupata means rate ya watu kuugua itashuka sawa na pandemic diseases zote lazma itafutwe njia ya kupunguza maambukuzi then huko mbele studies nyingine zikifanyika zitaweza kuleta majibu bora zaidi.
Usiombe ikakukuta, utakua wa kwanza kwenda kupanga mstari.
Iliku huwezi kusafiri mpk uwe umepata chanjo ya yellow fever, mbona hamhoji hizo??
Hivi huyu amesoma sayansi ya dunia ipi na kwa kiwango gani?
Mimi namshangaa Sana, kupingana na alichokisomea!!
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!

Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao

Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential
Rubbish...why not come up with your own vaccines and medications badala ya kulia lia dhidi ya wazungu?
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!

Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao

Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential
Hivi magu kweli wakuuliza maswali haya!!!!
Na watu wanamuunga mkono!
 
TB chanjo ipo. Ndo BCG tena ni chanjo ya kwanza kwa vichanga .Kuhusu chanjo ya malaria mtasubiri sana unless mtengeneze wenyewe. Maana Big Pharma wakitengeneza chanjo,dawa zao watauza wapi ?Ili waendelee kuuza lazima malaria iendelee kuwepo. Waafrica sasa tuamke tujikite kwenye research na tutengeneze chanjo wenyewe.
Hii chanjo ilishaanza kufanyiwa majaribio TZ na ilifanya vizuri sijui iliishia wapi.
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!

Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao

Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential

Please refer to my post #293 in the thread below

Ushasema tropical diseases. Maana hiyo ni magonjwa yakwenu, wazungu hayawahusu kiviiile. Tengenezeni chanjo wenyewe kama mnaweza mmekuwa kama mitoto mnalilia wazungu watumie akili zao kuwaletea chanjo, ni aibu. Mzungu anatengeneza chanjo inayomhusu yeye na maisha yake na maslahi yake na ni haki yake kufanya hivo asa wewe endelea kulia akutengenezee na wewe chanjo ya malaria.
 
Kuna chanjo inaitwa BCG ambayo ni chanjo ya kifua kikuu na watoto wachanga wote wanachanjwa... au TB na kifua kikuu ni tofauti?

Njia kujikinga na malaria zinajulikana na pia inatiba.
Na kukosa chanjo ya magonjwa mengine haimaanishi basi na hili lisipatiwe solution. Mbona hatuachi kupokea dawa za ukimwi mkasema kwa kua haziponyeshi basi zisitumike? Lakini zinasaidia kufubaza na leo mwenye ukimwi anaeza ishi na asiyenao na asimuambukize.

Kifua kikuu kina tiba na mtu akianza kutumia dawa hakiambukizi tena huwezi fananisha na korona.
So yes chanjo inaweza saidia wale ambao hawana maambukizi kutokupata means rate ya watu kuugua itashuka sawa na pandemic diseases zote lazma itafutwe njia ya kupunguza maambukuzi then huko mbele studies nyingine zikifanyika zitaweza kuleta majibu bora zaidi.
Usiombe ikakukuta, utakua wa kwanza kwenda kupanga mstari.
Iliku huwezi kusafiri mpk uwe umepata chanjo ya yellow fever, mbona hamhoji hizo??
Nawe bwege tu! Yaani kwa kuwa wazungu wansema Corona ni hatari nawe unasema ni hatari sana! Angalia asilimia ya wanaokufa ukilinganisha na Malaria. Unaimba wimbo wa wengine.
 
We ndo bwege mtozeni.... mbona unaambiwa ukimwi unaua na unakubali? Dawa unaletewa na mzungu wkt kwenu ndo umejaa?? Anakuletea condom ujikinge nayo mbona hukatai ?? Au yenyewe inaua kidogo? Hivyo hvyo kwa chanjo za TB, surua, polio, homa ya manjano... wapi umesikia inawasumbua wazungu sasa hivi? Dawa zote za malaria unaletewa na hao na unakunywa... kama mnajua sana si mtengeneze chanjo zenu. Mpuuzi jazz band!!!

Halafu unawezaje kucompare maambukizi ya malaria na corona???
 
Kama kuna kitu ananifurahisha sana mhe rais basi ni issue hi ya Corona; hu ugonjwa upo na unaua sana but kwa huku kwetu unaua basi sio kiviiile kama huko kwenye hizo nchi za weupe; huko kwa weupe, corona imeua na inaua sana hadi sasa hivi, swali kwanini msukumo wa chanjo unaelekezwa sana Africa ambako hakuna athari kubwa sana kama huko kwao?
Ebora iliua sana Guine na Congo but je WHO walipiga kelele kama sasa? Jibu ni HAPANA, why hawakupiga kelele kama sasa? Ni jibu lipo wazi, ugonjwa umeua weusi na sio weupe, Ebora ingekua imeanzi kwao, kelele nyingi sana zingepigwa but ilianzia Africa, haikufika Ulaya na Marekani na labda China na Japan. Napenda pia msimamo wa rais, rais anao msimamo wake na haangalii wengine wanacho kisema.
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!

Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao

Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential
Mtu mwenye akili timamu leo hawezi kuzungumzia ubeberu! Ukienda mtu unazungumzia chanjo? Mbona hamzungumzii hizi computer, simu, nguo za mitumba na vyakula vinavyotoka kwai??? Ivi lazima watumalize kwa chanjo ya COVID? mbona hatyusemi zile chanjo 9 za watoto zinazotolewa clinic? Zinatengenezwa huko chato?
Tuache umbumbu wa kufikiri kama wajima
 
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers ni lazima wawazime incoming super powers system?!

Katika kutekeleza Sera yao ni lazima waue nguvu kazi ya wanyonge wao lzm waue uwezo wa kufikiria wa wanyonge wao ni lzma watengeneze mazingira nyonyaji kwa wanyonge wao.

Ndio maana sasa Ukimwi hautakaaa uishe malaria Tb nk lengo to control our reproductive potential.
Wenzako wameshatumia cha madagaska. Waige ufe😂😂😂
 
Unataka WHO wajibu kichaa..??
 
Kuna chanjo inaitwa BCG ambayo ni chanjo ya kifua kikuu na watoto wachanga wote wanachanjwa... au TB na kifua kikuu ni tofauti?

Njia kujikinga na malaria zinajulikana na pia inatiba. Na kukosa chanjo ya magonjwa mengine haimaanishi basi na hili lisipatiwe solution. Mbona hatuachi kupokea dawa za ukimwi mkasema kwa kua haziponyeshi basi zisitumike? Lakini zinasaidia kufubaza na leo mwenye ukimwi anaeza ishi na asiyenao na asimuambukize.

Kifua kikuu kina tiba na mtu akianza kutumia dawa hakiambukizi tena huwezi fananisha na korona. So yes chanjo inaweza saidia wale ambao hawana maambukizi kutokupata means rate ya watu kuugua itashuka sawa na pandemic diseases zote lazma itafutwe njia ya kupunguza maambukuzi then huko mbele studies nyingine zikifanyika zitaweza kuleta majibu bora zaidi.

Usiombe ikakukuta, utakua wa kwanza kwenda kupanga mstari. Iliku huwezi kusafiri mpk uwe umepata chanjo ya yellow fever, mbona hamhoji hizo??

mortality rate ya nchi nyingi afrika ni: 40 yrs , mortality rate nchi karibia zote za wester ni: 78: mengine jazia kichwan kwako
 
Back
Top Bottom