Ndo ushamjua sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli nakubali hapo ningekula Zero unajua ilikaa kama Tundu Lisu ana undugu na huyo dada sema na huyu Ngosha anatupagawisha mpaka tunakuwa out of topic nakubali kwa mikono miwili hii 'Zero ' yangu, no hard feeling
Ni Mwanaharakati Mpya Mzuri
Msomi, Anayejitambua, Jasiri.
Kwa Kweli Nimevutiwa Na Huyu
Wakili Msomi Fatuma Karume
Kwa Udhubutu Ukizingatia Ni
Mwanamke.
Kajitahid kumake headlines wiki 2 mfululizo
Binafsi, Mimi Sio Mwanasheriahivi kuna wakili sio msomi??
Hilo neno 'wakili msomi' linatumika kwa mawakili wa chadema tu !hivi kuna wakili sio msomi??
Duuh.... ! Wakili Yesu ! Hii sijawahi ona mabuku yoteeBinafsi, Mimi Sio Mwanasheria
Ila Kwa Uelewa Wangu Mdogo
Nafahamu Kila Mtu Anaweza
Kuwa Au Kuitwa "Wakili" Kwa
Namna Moja Ama Nyingine.
Kibiblia Yesu Anaitwa Wakili
Kutokana Na Kutetea Makosa
Yetu. Turudi Kwenye Neno "wakili
Msomi" Ni Asili Ya Neno "Learned Brother Or Sister" Kutoka Ulaya.
Dhumuni Ni Kuweka Utofauti ( Distinction) Ya
Wakili Ambaye Amesomea Sheria
Na Yule Ambaye Hana Ujuzi Wa
Taaluma Ya Sheria.
Law society ndo ilimtuma Lissu !?Fatma Karume anamsaidia TL sio kwa sababu ya chama cha siasa ni kwa sababu ya Law Society.
Akili za ki ukawa hizo, hata Lowassa mliona anafaa after years of hatredNimewatazama wanawake wote walio katika ulingo wa siasa sijawahi kuona wala kumuamini hata mmoja katika nafasi ya urais..
Lakini kwa huyu Fatma Karume, nimekuwa mwepesi sana kushawishika kwamba anatosha kabisa kuwa mkuu wa nchi!
Kwangu mimi Fatma namuona kama mwanamama wa tofauti sana!