Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

Sasa sisi watz tunashida gani awe amekufa au la wakati mkataba umesainiwa kweupe!! Tena kwa bei ya juu kwani sisi tunamzuia kutangaza alibaba kweli??!! Hiyo ni website ya kutangaza biashara tatizo liko wapi? Watz lazima tuache siasa kwa kila kitu. Ndiyo maana Wakenya walikuwa wanatupiga kwenye Tanzanite kupitia Wahindi.
 
Ni kweli uyasemayo tuache siasa lakini kuhoji ni jambo jema sana hasa ukiwa hujaweka masilahi ya chama mbele.

Mfano: Mikataba ya Escrow na EPA si zilisainiwa watu wanaona? Hata mikataba ya madini Kama hizo Tanzanite ilipigiwa chapuo hadharani.
Lakini kwa kutokuhoji Kwetu si waona tuliendelea kuibiwa kila siku huku wale wanaohoji/waliohoji wakiambiwa hawafai?

Nadhani tujiwekee misingi ya kuhoji ili watawala watupe majibu yanayostahili na kuridhisha.
Hili suala watu wamehoji na naibu waziri katoka na kujibu.
Hivi ndivyo inavyotakiwa.
Ila kila linaloamuliwa na haliridhishi tunaliacha kisa siasa au ukihoji wew msaliti au vile na vile, Tanzania tunayoitaka haitakuwa
 
Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
We unasemaje kunguni? Umeelewa hoja iliyopo mbele yako au umekombilia kutoa kashfa kwa mtoa mada ili uwahi buku 7? Hoja ipo hivi pimbi ww kampuni imeanzishwa mwaka 2016 ila mmoja wa waanzilishi alifariki 2001 upo hapo?
 
Unafikiri kutumia nn? Kichwa au mavi? Umeelewa sheria ya nchi na mchakato wa manunuzi iliyotiwa saini? Huyu jiwe si ndiyo anaekataa wapiga deal? Hapa kimefanyika nini? Tafakari kwanza kabla ya kutoa huo ujinga wako.
Nyie uvccm mbona hamueleweki tatizo nn? Shule au njaa?
 
We unasemaje kunguni? Umeelewa hoja iliyopo mbele yako au umekombilia kutoa kashfa kwa mtoa mada ili uwahi buku 7? Hoja ipo hivi pimbi ww kampuni imeanzishwa mwaka 2016 ila mmoja wa waanzilishi alifariki 2001 upo hapo?
Wewe dada hebu tuliza mshono!!
 
Dada tuliza mshono!
 
Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
1-Kampuni imeanzishwa mwaka 2016
2-Mwanzilishi alifariki mwaka 2001
Kati ya weye na Zitto nani ana mtindio wa ubongo?
 
Ki uhalisia kufunguliwa kwa kampuni hakuko sawa kisheria ,kampuni haiwezi kuwa na wakurugenzi au wanahisa mizimu,waliokufa,serikali lazima iingie.mikataba na makapuni yaliyo sahihi kisheria
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuongopa baadae utalala na kukoroma na siku itapita sisi Hapa Kazi Tu!!
Hahahahahaaa,umebanwa mbavu,usiwe unakurupuka tu kuwa wa kwanza kujibu hata kama hoja hujaielewa!
 
Ubarikiwe kwa mapoint
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
aiseeeh hapa umechangia bila ya kuushirikisha ubongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…