Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.

Basi we hujamsoma huyo dada. Hana ajenda. Bashite Unajua kwanini. Yeye sio kwamba ni mwanaharakati. Ni mama visa. Fuatilia tu namna zake na watu wake. Ccm ya sasa na mkuu na aliyokuwa anagombea ubunge ipi iko kichama zaidi .mwanaharakati kwa namna hiyo umeona wapi. Ye ni kama mtu wa kijiweni.
 
Mnamwongezea followers
 
Sio kila mtanzania analalamika kama maisha yamekuchapa ni wewe sisi wengine Maisha burudani. Endelea kumfuatilia Mange badala ya kufanya kazi uone kama malalamiko yako yataisha
 
Nyie ndo Mnao mfanyia matangazo ili apate followers wengi[emoji4] [emoji4]
 
Mange Kimambi nadhani kazi yake kubwa ni kutafuta followers kule mtandaoni na hakuna kingine,,
 
Sio kila mtanzania kama maisha yamekuchapa ni wewe the wengine Maisha burudani. Endelea kumfuatilia Mange badala ya kufanya kazi uone kama maisha yako yataisha
Sio lazima umfatilie mkuu. Fanya kazi tuache sisi tunaemfatilia. The choice is yours!
 
CORRECTION: Ilitakiwa awe jela muda huu
 
Hakika mange anamisukule mingi cha kushangaza mingi ni ya kiume
 
Sio kila mtanzania kama maisha yamekuchapa ni wewe the wengine Maisha burudani. Endelea kumfuatilia Mange badala ya kufanya kazi uone kama maisha yako yataisha
Well said[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Binafsi sikuwahi kuwa shabiki wa Mange huko nyuma, ila kwa hili la Daudi Bashite kanishika walahi. Haiwezekani nchi ikawa inaendeshwa na watu wawili watakavyo tuwachekee tu, ni lazima waanikwe upuuzi wao, najiuliza asingekuwa Mange huu unafiki wa Bashite na Babaake tungeujulia wapi? Hata kama mwenye mamlaka hajachukua hatua ila nashukuru Mungu watanzania wamejua tunaongozwa na watu wa namna gani
 
Mange anajitahidi sana kutafuta information na kuzidadavua vema kwenye ishu ya siasa anaconnect dots vizuri unamuelewa sasa ni wewe kujiongeza kumuelewa alichokisema

Ishu akija kuongelea ishu personal anamaneno magumu hatari toka Jana yuko na wolper kuna Yule Lucy Mayenge mbunge Viti maalumu mama yangu ni matusi matupu
 
Nadhani we we unafata mkumbo hebu ingia kwenye account yake uniambie anafanya kazi gani zaidi ya kulelewa na mzungu tu na mpaka mzungu kamchosha.
Mwanamke kulelewa ni kawaida ndugu... kwani unamuonea wivu?
 
Twambie anafanya kazi gani maana kihelehele kama unamjua....yule kazi anayofanya ni 'umalaya' na hii inathibitisbwa na aina ya matusi anayoporomoshea watu inaonesha kuwa sio mzima...
Umalaya wake tunamuachia mwenyewe maana papuchi ya kwake, na si kila anayeporomosha matusi ni malaya, pia si kila asiyeporomosha matusi si malaya.
Ninachompenddea ni uthubutu wa kusema kile ambacho wengine wanao uwezo lakini wameamua kukaa kimya.
 
umemalizaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…