unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Aje kuongelea hapa hapa kwani yy hana kazi ya kufanya marekani? tambua yy ni mkazi wa huko lazima aongelee huko huko alipo kwani ujasiri lazima uwepo Tanzania? Watanzania wangapi wapo nje wanakerwa na udikteta wa kumkumbatia Daud bashite lakini hawathubutu kusema kitu, Vijana hawajawadharau viongozi bali tabia zao za kukumbatia Uovu ndizo huwafanya kudharaulika, heshima zipo kwa wale viongozi wanaojiheshimu tu, isipowaheshimu watanzania hakuna atakayekuheshimu dawa ya moto ni moto, wameamua kumkumbatia Daud bashite asiye na vyeti huku wafanyakazi wengine wakiwa wamefukuzwa kazi wanateseka mitaani alafu mnataka mheshimiwe kwa lipi? Ebu mfukuzeni Daud bashite muone heshima zenu zitavyorejeshwa kwa kasi.
Basi we hujamsoma huyo dada. Hana ajenda. Bashite Unajua kwanini. Yeye sio kwamba ni mwanaharakati. Ni mama visa. Fuatilia tu namna zake na watu wake. Ccm ya sasa na mkuu na aliyokuwa anagombea ubunge ipi iko kichama zaidi .mwanaharakati kwa namna hiyo umeona wapi. Ye ni kama mtu wa kijiweni.