Kwani mama yako sio mwanamke?That's insane,
Weka mihemko Kando kwanza
Jamaa anajidhalilisha sana kwa huo mtazamo wake.Mange anamakosa Mengi mno na kasoro nyingi , kumpa sifa kuwa na akili kuliko wote hali make sense
Napunguza akili yake kwa kiwango kikubwa pale alipopambana na Magufuli huku akijua JPM alikuwa jembe lililoletwa na Mungu.Sio kuwakweza wengine.. Ila ukweli ndio huo.
Watanzania huwa tunapenda kudanganya, huwa tunapenda kuambiwa uongo..
Ukisikiloza press ya Lema, utaona kabisa aliongea shit, alikuwa ni kama anawapanga watanzania, Haku ongea mustakabali wa taifa na jinsi tunaweza kutoka kupitia haki..
Alicho kifanya ni gaslighting, na kuwaongelea vibaya wapigania haki,, (Heche) eti amemlea... Sijui alimnunulia pikipiki na kum suggests awe makamu mwenyekiti, na drama nyingi ambazo ni pointless ili tu awateke watanzania.
Hakukuwa na any viable strategy ya haki na misingi ya demokrasia katika press yake.
Ila majibu ya mange mmeyasikia?
Kwanza haja onesha kupanic, haja toka kwenye misingi yake ya kuongelea haki na misingi ya chama hata kama yeye sio mwanachama.
Kaonesha logic invalidity ya maneno ya Lema, kasema ukweli Mchungu ambao unafuata na kuclear wingu la maneno ya shobo kutoka kwa lema(inachekesha sana kusikia kitu ambacho kiko wazi kabisa)
Yaani ukiangalia maneno ya Mange, una tambua fika kabisa she's a genius by birth, ni kheri kabisa. Yaani akili yake haina filter za upumbavu, hana kukwepesha maneno na anakuambia ukweli right in your face hata kama ni Mchungu.
Ni akili kama za mange ndo zilipaswa kushika nchi, ila ndo hivyo wanaishia kuwa threat ya system.
Mimi sema kweli naona kabisa watz tutaendelea kubiruzwa, it requires waking the *** out of manipulations uweze kumwelewa mange, hapindishi maneno, na anabeba maneno yake like she owns it.
She's a woman messiah... Mkatae mkubali. Hata chadema yenyewe kaibeba mikononi.
Labda ongelea wanawake wa familia yenu.Sio kuwakweza wengine.. Ila ukweli ndio huo.

Wakati huyo Mange hata Jf hagusiUngesema Mange ni miongoni mwa wanawake wenye akili inge sound vizuri ila kusema et hakuna top zaidi yake ni kiichekesho cha karne
Watanzania wengi huwa hawachuji vitu mkuu, yaani kuna mtu kaja kusema kwa comment eti, "hata mama yako mzazi"Jamaa kasema kuliko wanawake wote ni makisio tu na uwajibikaji na nadhani katumia kipimo cha wanawake wa Tanzania..ila nisilo na shaka nalo ni kuwa hapa Tanzania hakuna SHEKH HATA MMOJA ANAYE WEZA KUFIKIA AKILI YA MANGE JAPO NAYO NI DUNI ILA HAKUNA SHEKH MWENYE KUZIFIKIA HATA KWA ASILIMIA 60%
Kanye we kubali tu hoja yako ina kaunabe fulani πNimeongea kwa punchline mdogo wangu,
Mange ni kweli ana akili lakini akili yake imejengwa kwa misingi ya watu wengine kinachofanya aonekane ana akili ni kwa sababu hupewa information nzito na zakuaminika hicho kinambeba piaNajua ninacho maanisha. ILa nadhani hata wewe umeelewa. She's a brilliant mind
Wewe unapenda kukosolewa πAna mesh ya logic na intuition which is indeed needed katika kufanikiwa. Hawa ndo wanawake wa kuweka ndani... Yaani ukizingua unachanwa makavu bila chenga. Na ukizingua ana admit kabisa kuwa hapa nimefeli
Inaonyesha ni kiasi gani alivyo kuwa mtu wa kukurupuka.Jamaa anajidhalilisha sana kwa huo mtazamo wake.
Hagusi ki vipi?Wakati huyo Mange hata Jf hagusi
Ukiona mtoto wa kiume ana support mtu mwenye sifa hizo chafu hapo juu ujue anapenda umbea kama wanawake.Inaonyesha ni kiasi gani alivyo kuwa mtu wa kukurupuka.
Mtu kuwa sahihi kwenye jambo Moja au mawili kati 100 sio kipimo cha akili , bora angekuwa specific labda kwenye angle Fulani na sio kuGenerelize .
1. Mange aliwahi kuwa chawa wa Samia
2. Mange alikuwa anadhalilisha watu na kutoa kwenye relief kwa mambo ya kipuuzi na video chafu
3. Mange ndiye aliyehakikisha Jeshi kutakuwa pamoja na waandamanaji
4. Na mengineyo mengi tu .
Mkuu hzo asilimia ni nyingi hata 10% hayupo .Jamaa kasema kuliko wanawake wote ni makisio tu na uwajibikaji na nadhani katumia kipimo cha wanawake wa Tanzania..ila nisilo na shaka nalo ni kuwa hapa Tanzania hakuna SHEKH HATA MMOJA ANAYE WEZA KUFIKIA AKILI YA MANGE JAPO NAYO NI DUNI ILA HAKUNA SHEKH MWENYE KUZIFIKIA HATA KWA ASILIMIA 60%
Hata wewe unamapungufu sio ajabu kwa yeye kuwa na mapungufuMange anamakosa Mengi mno na kasoro nyingi , kumpa sifa kuwa na akili kuliko wote hali make sense
You know me quite sure, punchlines are my favoritesKanye we kubali tu hoja yako ina kaunabe fulani π
Issue sio tu kuwa imejengwa kwa misingi ya wengine...Mange ni kweli ana akili lakini akili yake imejengwa kwa misingi ya watu wengine kinachofanya aonekane ana akili ni kwa sababu hupewa information nzito na zakuaminika hicho kinambeba pia
Nikuulize ukitoa hicho nini kingine kinafanya uone ni top ?
NB : sina chuki nae naongea fact
Absolutely, yaani mimi mtu akinokosoa kwa kuni chana makavu, aisee huwa namthamini na kum Heshimu sana. Huwa sinaga ego endapo ninachalenjiwa constructively.Wewe unapenda kukosolewa π
Watu wangapi wapo nyuma ya camera na hawaweziRight in your face akiwa nyuma ya kamera bila hadhira kila mtu anaweza.
Mange ni crazy!
Mtu akijiona yeye ni msafi zaidi huenda yeye ndo mchafu.
Mange hajawahi kula hata 100 ya mbogamboga?
Anachofanya mange si kitendo cha kiungwana. Kama alikua na ushahidi wa lema angeuwasilisha kwa viongozi wa chadema directly na si kutaka kujiona yeye ni perfect au anajua sana
Wako viongozi wengi wanateleza na kupewa onyo na kamati kuu bila kutengeneza taharuki au kumchafulia mtu CV,
Kitendo cha mange kutaka watu wamwone Lema msaliti haijakaa sawa ilihali ushahidi wake ni wa maneno TU.
Jiulize kwanini wewe hupewi hizo information bali anapewa mangeKanye we kubali tu hoja yako ina kaunabe fulani π
Mange ni kweli ana akili lakini akili yake imejengwa kwa misingi ya watu wengine kinachofanya aonekane ana akili ni kwa sababu hupewa information nzito na zakuaminika hicho kinambeba pia
Nikuulize ukitoa hicho nini kingine kinafanya uone ni top ?
NB : sina chuki nae naongea fact
Wewe unapenda kukosolewa π
Ww unamuona ana akili kwa sababu ww ni mpumbavu.Narudia tena hakuna mwanamke Tanzania mwenye akili kama Mange kimambi.