Who is Shivji mpaka asikosolewe?

Ka

Mazingira yalikuwa mazuri chochote unachotaka unapewa mpaka madaftari mashuleni yalikuwa yanagawiwa Bure kabisa we kazi yako kusoma tu.
Kama kupata uprofesa ilikuwa rahisi basi babu yako angekuwa prof...au unataka kumtusi babu yako alikuwa poyoyo?usitumie kichwa kuhifadhia nywele tu!
 
Nchi hii ina watu wapumbavu sana. Badala ya kujibu hoja za profesa ninyi mmejikita kumshambulia
 
Who's CCM mpaka tuwaamin? Uzuri unaweza leta evidence kati ya Shivji na CCM ni yupi amelitia Taifa hasara kwa kuingia mikataba ya kunyonyaji?
 
Ruksa kumkosoa kwa kupangua hoja zake; siyo kwa kumpigia kelele na kumuita majina mengi!
 
Unataka kusema kasoma DSJ halafu ana hoji elimu ya profesa?
 
Kwani nyie ni ndumila kuwili au bendera fuata uprepo? Hapo ndo mnapokosa trust ya wananchi
Hapo ndipo tutampinga. Hatumpingi mtu kwasababu ni Shivji hapana. Tunampinga mtu kwa kila anachokisema, kiamini au anachokifanya.
 
Akili zako ni za kidamu damu kama umeona Boko Haram wana umuhimu kuliko Shivji basi wewe hamnazo kabisa.
 
Umeshawahi kuliwa tunda kimasikhara?
 
Uwekezaji ni muhimu sana regardless how umefanyika. Tumechoka na huu umaskini wa kujitakia. Mbaya zaidi wachache wezi wa bandari ndo wanaonufaika at the expense of the majority. Ilikuwa kwamba ukiajiriwa bandarini basi umeula. Sasa basi
Unafikiri Mwarabu akichukua Bandari umaskini utakutoka?Maskini ni maskini tu hata kama umnyanyue vipi ,umaskini uanaanzia kwenye mawazo kama ya kwako MUNGU AMEKUPA KICHWA NA MIKONO pia KAKUPA AKILI lakini umeshindwa kuzitumia vizuri eti DP WORLD waje wakuondolee umaskini!Kwa kweli chanzo cha ufukara ni fikra,fikra hizi ni za kimaskini sana.
 
Mazingira yalikuwa mazuri chochote unachotaka unapewa mpaka madaftari mashuleni yalikuwa yanagawiwa Bure kabisa we kazi yako kusoma tu.
Sasa hivi ndo kuna mazingira rafiki, maana unaweza kupata material nyingi mtandaoni, kwa simu au laptop tu.
Enzi za zamani lazima utafute na ukeshe na mavitabu kibao
 
Kwa akili yangu kubwa naona uwekezaji ni muhimu sana regardless umefanywaje mana tumeibiwa sana na nyie wachache mlioajiriwa bandarini. Sasa basi
Ushindwe kusomesha watoto na huku una ng'ombe kibao pamoja na mbuzi na mashamba halafu uje umkodishe Bakhresa akulelee mke na watoto pamoja na mali zako ili tu usomeshe watoto wako,je utakuwa mzima katika kufikiri?
 
Nenda jamii za wamasai. Hawasomeshagi watoto ila Wana ng'ombe kibao
 
Ushindwe kusomesha watoto na huku una ng'ombe kibao pamoja na mbuzi na mashamba halafu uje umkodishe Bakhresa akulelee mke na watoto pamoja na mali zako ili tu usomeshe watoto wako,je utakuwa mzima katika kufikiri?
Nenda jamii za wamasai. Hawasomeshagi watoto ila Wana ng'ombe kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…