agapito
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 252
- 258
Ka
Mi nawashangaa Sana nyie chadema na wafanyakazi wa bandari mnaohaha na kitetea wizi wenu wa bandarini.
Huyu Shivji ni mtu mdogo sana na alipata uprof enzi hizo za Nyerere ambapo kusoma ilikuwa myeremko na mazingira yalikuwa supportive kusoma siyo siku hizi. Angesoma enzi hizi ambapo hakuna spoon feeding I'm sure angeruka na div four na asingekuwa lecturer. Thanks to jk Nyerere.
Kama ana akili kweli ashindanishwe na kabudi au lipumba
Kama kupata uprofesa ilikuwa rahisi basi babu yako angekuwa prof...au unataka kumtusi babu yako alikuwa poyoyo?usitumie kichwa kuhifadhia nywele tu!Mazingira yalikuwa mazuri chochote unachotaka unapewa mpaka madaftari mashuleni yalikuwa yanagawiwa Bure kabisa we kazi yako kusoma tu.