Unalinganisha ufaulu wa enzi ya kina Shivji na sasa? Mitihani enzi hizo A inaanzia 100%-81% miaka yenu sasa A inaanzia 100%-75%. Na unaruhusiwa kutumia calculator.
Ukikosa cha kusema kwa heshima kubwa, nyamaza.
Huyu Prof. Shivji alipoingia bungeni kuikosoa katiba ya Warioba, ccm mlishangilia sana na alitukanwa sana na hakuwahi kumjibu yeyote. Na hii ndio sifa ya mwanazuoni. Mtasema sana na mtatukana sana yeye keshasema.
Ajabu wanaokosoa huo mkataba ni wengi sana, wanasheria, tena wengine wamewahi kuwa mawaziri wakubwa waandamizi,mfano Mzee Warioba na Tibaijuka, lakini Prof. Shivji ndo unamwandama. Mbona mlimsikiliza kwenye bunge la katiba!!