Who is the best Ronaldo?

Who is the best Ronaldo?

Hivi bro unalinganisha ulimwengu wa kina Gaucho na Ronaldo ??
Acha utani ww.
Huyo Messi mwenyewe angekuwa ktk era ya kina Gaucho angepata ballon dor moja tu.
Na kumbuka Gaucho ana world cup baba la baba.
Kupata ballon dor chache Gaucho ni kwasababu ktk kipindi chake cha soka kulikuwa na magwiji kama kina Zidanne,Delima mwenyewe we unadhani hapo kuna nn tena km sio mtiti??
Huyu Cr7 yupo ktk ulimwengu ambao mpinzan wake ni Messi tu waliobaki wote ushuzi hamna kitu ndio maana wanatamba.
Wangezaliwa kipindi cha ulimwengu wa soka uliotawala magwiji kwa wakati mmoja uone kazi yake.
GAUCHO NI FUNDI MKUU MM SHABIKI WA MESSI ILA MESSI NAMWEKA CHIN HAMWEZ GAUCHO .
WW MTU ANAMPIGA MTU CHENGA MPK KUMTEGUA KIUNO??
ANAVISHA VIDALI WATU WATATU??!!
MKUU TUMEMISS SKILLFULL PLAYING OF GAUCHO KIUKWELI MUCHE APEWE SIFA ZAKE
Well said Mkuu,hawa wakina Mesi na Ronaldo wangekuwa kwenye ule ulimwengu ambao mpira ilichezwa na Wanaume wa shoka kama hawa wasingepata hizi sifa hizi wala tuzo
IMG-20190722-WA0021.jpeg
 
The best Ronaldo is the one with many trophies.

Simple.

Takwimu si zimejaa mtandaoni labda kama mnatafuta league tu na hisia
 
Kumbuka ile ilikuwa ni team work, hata Griezman, Kante,Mbappe, Iniesta, Cassilas n.k wana w/c..kama ndio kigezo chako basi wote hao ni bora kuliko Messi na R7.

Gaucho mwenyewe amekiri kwa mdomo wake [emoji1541]
View attachment 1163918


Mimi ni shabiki wa Messi.


Ila tukija kwa hao watatu pamoja na madoido yao yasiyokuwa na tija wala mafanikio katika timu zao hawamfikii R7. Tutende haqqi sheikh japo sio shabiki wa R7.
Cr7 Ana ubora gan ww mechi zake na uwiano wa magoli haviendani.
Mechi nyingi uwiano wa magoli mdogo utasema yeye mchezaji??
Nenda kwa messi mechi za kawaida ila uwiano wa magoli kushinda mechi hadi cr7 wako kaekwa kando.
Mm nakwambia km mpira wa kipaji cr7 siwez kumuweka.
Tena angezaliwa zama za wale magwiji hasingepata tuzo ww.
Hizi tuzo zenu mnazipata kwa figisu na upendeleo!??
Ulimwengu wa kina Gaucho ulikua mwingine tena ule ni wa ma aliens.
Usimchukue mviziaji cr7 ukamweka kule ataumia.
 
5 times ballon d'or tuweni serious kidogo CR7 ni zaidi
Asa bro ballon dor zako zinazogaiwa kwa ushubwada jaman kama ile ya 2013 ushubwada mtupu ulifanyika.
Cr7 kapata ballon 5 kwasababu ana mshindani mmoja tu.
Mchukue mrudishe ktk ule ulimwengu wa kina gatuso mammaaeee uone ht kumsikia km ungemsikia.
Unapoongoza mbele ya wajinga usijisifie.
Huwez mfananisha aliyeongoza shule ya feza na shule ya kibasila utofauti mkubwa sana.
 
Mkuu utakua hauko serious kumfananisha Gaucho na Ronaldo.
Hakuna kitu Ronaldo Christiano anamfikia Gaucho milele.
Gaucho kipaji toka mbinguni mkuu tuongee ukweli tuache unafiki.
Naona hujanielewa, mimi sijamfananisha gaucho na cr7 ni kweli tofauti, ni kweli gaucho ni kipaji kikubwa sikukatalii, cr7 hana kipaji hicho, hebu tutizame kile cr7 kafanya juu ya soka!! Cr7 hana kipaji ila ana juhudi za hali ya juu!! Jitihada zake ndio zimemfikisha hapo, kwa kizazi hiki kuna watu wana kipaji kushinda cr7 tizama wako wapi kwa sasa umbali wao na cr7
Tunamchukia tu cr7 but he is a beast!!

Ndio maana nikasema kwangu wote ni wachezaji bora, tusiangalie kipaji tupu! Tutizame vipi wamelitendea soka, kuna watu wanavipaji lakini wamekufa kina tarabt, Ben arfa.. hivi unadhani mtu kama ben arfa angekuwa na juhudi km za cr7 angekuwa wapi..

So kwangu mimi cr7 ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa niliopata kuwashuhudia.
 
Ww ndo kolo wa mwisho ww,weka gaucho wengine wafate
Mwandiko wako tu inaonesha nitakuwa nabishana na mtu wa aina gani!!

Wewe amini hivyo ila na ukolo wangu nakwambia wote ni wachezaji bora, ni mapenzi na chuki bimafsi tu ndio vinatufanya tusimpende cr7.

Ukizungumzia kipaji na uburidishaji gaucho is the best, lakini madhari hapa mnazungumzia soka, kwa yale waliyotenda hawa wote kwenye soka wako basi moja la uchezaji bora labda kasoro yao ni siti tu.
 
world cup ndiyo nn??? kwani kuwa bora zaidi ni lazima uchukue world cup ambayo hata ramos amechukua??? ni makombe mangapi cr7 kachukua ukiondoa timu yake taifa yaani ureno?? wacha unafiki na uzandiki kijana.... cr7 ni mtu wa tofauti kabisa... leo hii cr7 ana 34 years..... lakini bado yupo on fire... tumeona akina delima waliflop na kustaafu alipofikisha mika 31... henry alistaafu akiwa na 32... gaucho akina na 31..


lakini mnyama cr7 ukimuangalia anavyozifumua nyavu ni kama ana 25 hivi....
Asa ww usifananishe ulimwengu wa soka wa sasa na wale magwiji.
Huyo mviziaji wako anaepikiwa magoli akisubiri aingie ndan ya 18 amalizie walichopika wenzake ukimchukua ukamrusidisha enzi za kina gatuso analala na viatu.
We siku hz kuna mabeki au ushuzi.
We mtazame km messi anatoka watu sita anashinda na anarudia tukio hilo mara tatu ndani ya. Mechi moja mfano mechi ya uefa barca vs leverkusen alishinda tano peke ake.
Fanya ujinga huo mbele ya gatuso.
Acheni kusifia hawa watu walio ktk ulimwengu wa wasiojua mpira.
Na kwa kizaz cha sasa messi na cr7 wakistaafu tarajia utamu wa. Mpira kuondoka.
Maana vipaji halisia km vya kina Gaucho hakuna.
GAUCHO NI LEGENDARY USIMFANANISHE NA MVIZIAJI CR7 KOSA LA JINAI NA. MADAI KWA UJUMLA MZEE.
NARUDIA TENA MCHUKUE CR7 MTRACE BACK ENZI ZA KINA ZINEDINE ZIDANE THEN NIPE MAJIBU ANGEKUWA KTK HALI GANI SASA HV.
 
world cup ndiyo nn??? kwani kuwa bora zaidi ni lazima uchukue world cup ambayo hata ramos amechukua??? ni makombe mangapi cr7 kachukua ukiondoa timu yake taifa yaani ureno?? wacha unafiki na uzandiki kijana.... cr7 ni mtu wa tofauti kabisa... leo hii cr7 ana 34 years..... lakini bado yupo on fire... tumeona akina delima waliflop na kustaafu alipofikisha mika 31... henry alistaafu akiwa na 32... gaucho akina na 31..


lakini mnyama cr7 ukimuangalia anavyozifumua nyavu ni kama ana 25 hivi....

According to your logic basi Dan alves ni bora kuliko kila mtu hapo akiwemo huyo CR7.
 
Soka la watu zaidi ya 20 linatoa mtu bora 1 ni tofauti na hili la leo la watu 2 litoe mtu 1.
... Wale jamaa akina DE LIMA, ZIDANE, GAUCHO, HENRY, BERGCAMP, FIGO N.K tuwaache kama walivyo
 
Kuna mmoja kati Ya hao watatu katoka sayari nyengine kimuonekano paka vitendo huwezi kumfananisha na hao wawili utakuwa hujamtendea haki kabisa,Mr Minjino nahisi aliletwa na UFO Kumfanyia majaribio kisha wakamsahau kiumbe wao.
 
Tukisema best player nahic tutaangalia vitu vingi sana ....... mchezaji bora kwangu ni gaucho ila nikimwangalia cr7 nahisi ana amekaaaa mda mwingi sna kwenye game akiwa na kiwango kizuri miaka 10+ kwa ilo nampa heshima yake aiseeee
 
Nikimtoa mchezaji ambae hakuwahi kutokea hapa ulimwenguni The G.O.A.T/LEO10.

And so Nikiweka ushabiki pembeni CR7 kawazidi wote hao japo si shabiki wake.

Tuacheni mapenzi jamani na tuweke fact za maana. Cr7 amekuwa kwenye mafanikio kwa miaka mingi kidogo ukilinganisha na Gaucho aliedumu kwa miaka mi3 ama mi4 tu akadrop, na vile vile hakuipa mataji ya kutosha tim yake, na hata ballon de or wamezidiwa mbali sana na Cr7. Ukiangalia hata statistics Cr7 kawachana mbali sana hao wabrazili.

Mkuu utakuwa haupo siriaz kumfananisha Cr7 na Gaucho Kwasababu hyu Cr7 hajafikia hata kwa Delima.
 
Cr7 Ana ubora gan ww mechi zake na uwiano wa magoli haviendani.
Mechi nyingi uwiano wa magoli mdogo utasema yeye mchezaji??
Nenda kwa messi mechi za kawaida ila uwiano wa magoli kushinda mechi hadi cr7 wako kaekwa kando.
Mm nakwambia km mpira wa kipaji cr7 siwez kumuweka.
Tena angezaliwa zama za wale magwiji hasingepata tuzo ww.
Hizi tuzo zenu mnazipata kwa figisu na upendeleo!??
Ulimwengu wa kina Gaucho ulikua mwingine tena ule ni wa ma aliens.
Usimchukue mviziaji cr7 ukamweka kule ataumia.



Hapa hatumzunguzii Messi, Messi habari ingine bwana wala hashindanishwi na yeyote unaemjuwa wewe"The greatest player ever",
Si maradona,
Ferenk puskas,
Alfredo de stefano,
Frank beckenbeuer,
Ubaldo fillol,
R7,
Burruchaga,
Pele,
Mario kempes
Gaucho,zidane
R9
Michel platini, wote hawa hawafui dafu kwa Messi!

So nikiweka ushabiki pembeni na kumtendea haqqi, R7 kawazidi mbali sana hao wabrazili.

R7 na Zidane weka mbali na hao wabrazili


Nikuhakikishie tu kiongozi, mimi ni mkongwe na sijaanza kufatilia mpira enzi za akina Messi na R7.
 
Back
Top Bottom